Vitu vitano nilivyojifunza kwa kuuza bidhaa moja tu iliyoendesha maisha yangu yote kwa mwaka mzima

Jun 8, 2016
83
645
Ukiweza kupata biashara moja itayo kulipia kodi ya nyumba, kukulisha, kusomesha ndugu zako wawili watatu, kukutoa out kila weekend, kukuvalisha, kulipa madeni yako yote basically kwa biashara moja, sio hata biashara moja, bidhaa moja tu, ukawa hauna hofu yoyote ya maisha kwa mwaka mzima utajiskiaje? Well mi nimesha experience hii ilikua kama mwaka 2014 flani hivi wakati ndio kwanza naanza kujifunza kufanya biashara na hii ndio ilikua bidhaa ya kwanza kufanikiwa.

Nakumbuka siku za mwanzoni kabisa ambayo niliagiza piece 20 tu ya bidhaa hii, na kuuza zote ndani ya siku moja tu, simu nilipigiwa na watu zaidi ya hamsini wanaotaka hii bidhaa, nilichoka kupokea simu mwenyewe. Watu wana furahi kweli kwa kuwa walikua wanatafuta hii bidhaa miaka nenda miaka rudi, watu wengine wakataka kuongeza hadi hela ili wapelekyyewe mda huohuo, wengine wanasema “uko wapi nakuja sasahivi”. Nikiwa kama mtu ambae naanza tu kwa kipindi hiki, siijui biashara vizuri na naskia kila siku watu wanavyofeli, hii ilikua kitu cha kushangaza sana.

Hamna mwaka niliyokua busy kama mwaka huu, niliuza mkoa niliokuepo (dar), nikasafirisha mikoa mingine (karibia mkoa yote nimetuma, mikoa mingine hata majina yake nilikua sijaishika kichwani). Nikaanza kutuma hadi nchi za jirani, nikaanza kuuzia maduka kwa wholesale, na nikawapa madogo flani waliokua mtaani kazi ya kuwapelekea watu popote walipo kwa mwaka mzima na commission yao ilikua nzuri tu, kwa kweli huu mwaka ulikua mzuri sana kwangu uki linganisha na miaka mingine iliyopita kabla ya hapo.

Anyway bila kupoteza mda bidhaa ni hii hapa.. watu wanapenda ku iga wakishajua kituflani kimefanya kazi kwa mwingine lakini there is alot that goes into “kuuza a product haraka, kama hivi” so good luck.

NGOJA KIDOGO. HERE IS THE STORY OF HOW NILIPATA HII BIDHAA.
Kama percent kubwa ya watu niliamka siku na kugundua kuwa inabidi nipunguze kilo kadhaa, ilikua asubuhi kweli nikaamua kutoka siku hiyo ili kwenda kukimbia, kitu kingine kuhusu mimi ni kwamba napenda mziki mno, mda wowote ukiniona kama siongei na mtu nina earphone maskioni naskiliza mziki, so it made sense kuwa nnapokimbia nitahitaji mziki, nikatoka na simu yangu na earphones. Kama mtu ameshawahi kujaribu kufanya hivi atajua kwanini ilikua ngumu sana kukimbia huku umeshika simu, au hata kuiweka mfukoni, earphone na zenyewe zinajipinda kila saa yaani hadi inakera kutumia simu wakati unakimbia, so nikaendelea kama wiki hivi najikaza hivihivi , wiki inayofuata nikasema haiwezekani lazima kutakua na solution ya jinsi ya kusolve hii kitu nikaingia online na kuanza research dakika kadhaa zinazofuata nikakutana na mkombozi wangu wa mwaka huo.

armband-sampe-1024x730.jpg

**HUYO SIYO MIMI**
But yeah, simu inakaa mkononi!!!!! this was a break through, nikaagiza piece yangu moja, kama wiki mbili zinazofuata nikaipokea. Next day nikaivaa na kwenda kukimbia, it was the best run i had in my life. Nilivyorudi nyumbani akili yangu ya ki enterprenuer ikaanza kucheza…. what if? what if?.. Nikaagiza piece 20 hapohapo, sikuwa hata na hela ya kutosha ya kula the next day ila nikajitosa tu, it wasnt hela nyingi ila kipindi hiko money was tight, well kama wanavyosema “the rest was history”.

Kwa sahivi nimeona watu wengi sana wameingia na kuanza kuuza the same product, lakini i was the first. ukiona mtu anakimbia na amevaa armband mkononi, ujue kuna possibility kubwa kwamba imetoka kwangu.

Nikajifunza mambo mengi sana kwenye kipindi hiki na baadhi ni ya fuatayo

Mambo 5 niliyojifunza kwa kufanya hii biashara.

1) BIDHAA AMBAYO ITAUZA VIZURI NI ILE INAYO RAHISISHA MAISHA YA WATU
This concept nimeshaisoma kwenye vitabu vingi sana, kwamba ukiweza solve matatizo ya mtu, you will make money. Na bidhaa hii ili solve matatizo ya watu wengine kama mimi tuliyokua tunahangaika na kukimbia huku tumeshika simu mkononi, baada ya hapo nikagundua njia za kutafuta matatizo mengine na ku ya solve kwa kuwapa watu solutions za hilo tatizo.

2) HAUHITAJI DUKA KUWBWA KUANZA BIASHARA NA KUFANIKIWA (NI BIDHAA TU INAYOHITAJIKA)
Baada ya mafanikio ya hii bidhaa moja, nika rudia process nzima kwenye bidhaa nne hadi tano na nyingi hadi leo zinaendelea. ukipata bidhaa inayohitajika na ukiweza pata njia za kufikia wateja wengi kwa haraka zaidi utakua na uwezo wa kupata wateja wengi kuliko hata mtu mwenye duka alafu amekaa tu anasubiri watu waje kwake, huu ni mwaka 2017, since mteja ni mfalme, wewe ndio inabidi umtafute yeye na siyo yeye akutafute wewe.

3) WATEJA WAPO WENGI SANA MTANDAONI, BIDHAA NA WAUZAJI WACHACHE.
Hata kama una duka kariakoo, hautoweza kufikia potential ya wateja waliopo kwenye mtandao. Idadi ya watu wanaotumia smartphone ni kubwa sana kuliko duka lolote litaloweza kuona maishani mwao, kama una duka tiyari huu ndio wakati wa kuanza kuwekeza kwenye mtandao, kukuza social media, kutengeneza website kujijenga na kuwa na brand iliyosimama online itamuongezea mtu mwenye duka mauzo mara tano, mimi nina rafiki ana duka maeneo ambapo watu wengi sana walipo, duka la vifaa vya simu. Baada ya mwaka akalifunga hilo duka kwa maana haoni faida hata kidogo, kwa siku atauza labda bidhaa 3-5 then anategemea Huduma za mobile money (eg tigo pesa) kumuingizia kipato cha ziada.

4) UMUHIMU WA KUWA NA WEBSITE NA KUJI BRAND VIZURI
ukiingia kwenye ma group ya kuuza na kununua vitu facebook, utaona watu wanauza vitu vingi tu. Here is the problem wanatumia account zao halisi, they have good products wengi wao ila hawajaweza kuji brand vizuri, branding is very important. Kupata logo nzuri, website nzuri inaonesha kweli upo serious na biashara yako. Also kuna indicators nyingi ambazo hawa consider kwamba mteja anahitaji ili kumuamini, wateja wengine wapo nje ya mj uliyopo watakuamini vipi hadi atume mzigo. hii yote inahitaji branding nzuri. Website pia ni authority indicator kubwa sana, ukiwa nayo tu utajiungezea trust by 50%, na kutengeneza website kwa ajili ya biashara yako haina process kivile watu tu wana complicate.

5) COMPETITION REALLY DOESNT MATTER SANA AS LONG AS KUNA MARKET
This might sound off kwa wengine lakini it is the truth, kama kuna bidhaa ina competition kubwa ina maana kuwa market ipo ya kutosha. Kilichobakia hapa ni kui corner tu market na kuwa authority kwenye hiyo product, mimi ndio nilianza kwenye soko la kuuza hizi armbands za mazoezi wengi walipoona tu kwamba inafanikiwa na comments/orders nyingi sana, wakaanza kuingia kwenye soko, na kwa mda kulikua na competition kubwa lakini it didnt matter kwa kuwa nilijiweka kama authority kwenye hiyo product, na nikaweza teka soko. Nikaja kujaribu same formula kwenye bidhaa ambazo zina competition tiyari na nikafanikiwa kuteka masoko hayo pia, kwa kutumia tactics nilizojifunza kwenye hii product ya kwanza.

Hizi ni baadhi tu ya snaposhot za mamia ya comments na wateja wakiulizia product hii

Hii hapa ni kwa ajili ya kenya

armband-2-kenya.jpg

(Kama kuna mtu alikutana na hizi post akitumia mitandao ya facebook/instagram atakua amejua ni brand gani ambayou nilikua natumia kuuzia hii product)

Anyway long story short nilipoanza hii biashara nikaacha kukimbia, nilipoteza kidogo hizo kilo nilizotaka kupoteza, ila zimerudi tena so kama kuna mtu ata suggest a good way kupoteza kilo kama 7 hivi ndani ya mwezi mmoja au miwili tafadhali acha comment hapo chini.

Baada ya bidhaa hii moja nika tengeneza formula ya jinsi ya kutafuta bidhaa itayo rahisisha maisha ya watu na kuziuza kutoka nyumbani tu, nika implement kama mara tatu hadi nne hivi successfully, now nimeandaa course inayofundisha mambo yote haya kuanzia kuagiza bidhaa hadi kuja kuuza. kuwafikia watu wengi sana, ukiwa nyumbani tu na mengine mengi, siyo rahisi kama ninavyoongelea hapo juu it needs alot of preparation kuji present kama authority na watu kukuamini ili utume mzigo hadi nchi zingine. kama kuna mtu atapenda jua zaidi i will be teaching watu wachache tu mambo yote ninayo yafahamu kupitia Link hii hapa
 
mkuu salute kwako mm.naulizia ukishaagiza mzigo kutoka china kwa mfano vp kodi wanakataje? mfano nimeagiza bidhaa 5 kila bidhaa ni shilingi 10000 jee watakata kodi kiac gan kila bidhaa?
 
Ukiweza kupata biashara moja itayo kulipia kodi ya nyumba, kukulisha, kusomesha ndugu zako wawili watatu, kukutoa out kila weekend, kukuvalisha, kulipa madeni yako yote basically kwa biashara moja, sio hata biashara moja, bidhaa moja tu, ukawa hauna hofu yoyote ya maisha kwa mwaka mzima utajiskiaje? Well mi nimesha experience hii ilikua kama mwaka 2014 flani hivi wakati ndio kwanza naanza kujifunza kufanya biashara na hii ndio ilikua bidhaa ya kwanza kufanikiwa.

Nakumbuka siku za mwanzoni kabisa ambayo niliagiza piece 20 tu ya bidhaa hii, na kuuza zote ndani ya siku moja tu, simu nilipigiwa na watu zaidi ya hamsini wanaotaka hii bidhaa, nilichoka kupokea simu mwenyewe. Watu wana furahi kweli kwa kuwa walikua wanatafuta hii bidhaa miaka nenda miaka rudi, watu wengine wakataka kuongeza hadi hela ili wapelekewe mda huohuo, wengine wanasema “uko wapi nakuja sasahivi”. Nikiwa kama mtu ambae naanza tu kwa kipindi hiki, siijui biashara vizuri na naskia kila siku watu wanavyofeli, hii ilikua kitu cha kushangaza sana.

Hamna mwaka niliyokua busy kama mwaka huu, niliuza mkoa niliokuepo (dar), nikasafirisha mikoa mingine (karibia mkoa yote nimetuma, mikoa mingine hata majina yake nilikua sijaishika kichwani). Nikaanza kutuma hadi nchi za jirani, nikaanza kuuzia maduka kwa wholesale, na nikawapa madogo flani waliokua mtaani kazi ya kuwapelekea watu popote walipo kwa mwaka mzima na commission yao ilikua nzuri tu, kwa kweli huu mwaka ulikua mzuri sana kwangu uki linganisha na miaka mingine iliyopita kabla ya hapo.

Anyway bila kupoteza mda bidhaa ni hii hapa.. watu wanapenda ku iga wakishajua kituflani kimefanya kazi kwa mwingine lakini there is alot that goes into “kuuza a product haraka, kama hivi” so good luck.

NGOJA KIDOGO. HERE IS THE STORY OF HOW NILIPATA HII BIDHAA.
Kama percent kubwa ya watu niliamka siku na kugundua kuwa inabidi nipunguze kilo kadhaa, ilikua asubuhi kweli nikaamua kutoka siku hiyo ili kwenda kukimbia, kitu kingine kuhusu mimi ni kwamba napenda mziki mno, mda wowote ukiniona kama siongei na mtu nina earphone maskioni naskiliza mziki, so it made sense kuwa nnapokimbia nitahitaji mziki, nikatoka na simu yangu na earphones. Kama mtu ameshawahi kujaribu kufanya hivi atajua kwanini ilikua ngumu sana kukimbia huku umeshika simu, au hata kuiweka mfukoni, earphone na zenyewe zinajipinda kila saa yaani hadi inakera kutumia simu wakati unakimbia, so nikaendelea kama wiki hivi najikaza hivihivi , wiki inayofuata nikasema haiwezekani lazima kutakua na solution ya jinsi ya kusolve hii kitu nikaingia online na kuanza research dakika kadhaa zinazofuata nikakutana na mkombozi wangu wa mwaka huo.

armband-sampe-1024x730.jpg

**HUYO SIYO MIMI**
But yeah, simu inakaa mkononi!!!!! this was a break through, nikaagiza piece yangu moja, kama wiki mbili zinazofuata nikaipokea. Next day nikaivaa na kwenda kukimbia, it was the best run i had in my life. Nilivyorudi nyumbani akili yangu ya ki enterprenuer ikaanza kucheza…. what if? what if?.. Nikaagiza piece 20 hapohapo, sikuwa hata na hela ya kutosha ya kula the next day ila nikajitosa tu, it wasnt hela nyingi ila kipindi hiko money was tight, well kama wanavyosema “the rest was history”.

Kwa sahivi nimeona watu wengi sana wameingia na kuanza kuuza the same product, lakini i was the first. ukiona mtu anakimbia na amevaa armband mkononi, ujue kuna possibility kubwa kwamba imetoka kwangu.

Nikajifunza mambo mengi sana kwenye kipindi hiki na baadhi ni ya fuatayo

Mambo 5 niliyojifunza kwa kufanya hii biashara.

1) BIDHAA AMBAYO ITAUZA VIZURI NI ILE INAYO RAHISISHA MAISHA YA WATU
This concept nimeshaisoma kwenye vitabu vingi sana, kwamba ukiweza solve matatizo ya mtu, you will make money. Na bidhaa hii ili solve matatizo ya watu wengine kama mimi tuliyokua tunahangaika na kukimbia huku tumeshika simu mkononi, baada ya hapo nikagundua njia za kutafuta matatizo mengine na ku ya solve kwa kuwapa watu solutions za hilo tatizo.

2) HAUHITAJI DUKA KUWBWA KUANZA BIASHARA NA KUFANIKIWA (NI BIDHAA TU INAYOHITAJIKA)
Baada ya mafanikio ya hii bidhaa moja, nika rudia process nzima kwenye bidhaa nne hadi tano na nyingi hadi leo zinaendelea. ukipata bidhaa inayohitajika na ukiweza pata njia za kufikia wateja wengi kwa haraka zaidi utakua na uwezo wa kupata wateja wengi kuliko hata mtu mwenye duka alafu amekaa tu anasubiri watu waje kwake, huu ni mwaka 2017, since mteja ni mfalme, wewe ndio inabidi umtafute yeye na siyo yeye akutafute wewe.

3) WATEJA WAPO WENGI SANA MTANDAONI, BIDHAA NA WAUZAJI WACHACHE.
Hata kama una duka kariakoo, hautoweza kufikia potential ya wateja waliopo kwenye mtandao. Idadi ya watu wanaotumia smartphone ni kubwa sana kuliko duka lolote litaloweza kuona maishani mwao, kama una duka tiyari huu ndio wakati wa kuanza kuwekeza kwenye mtandao, kukuza social media, kutengeneza website kujijenga na kuwa na brand iliyosimama online itamuongezea mtu mwenye duka mauzo mara tano, mimi nina rafiki ana duka maeneo ambapo watu wengi sana walipo, duka la vifaa vya simu. Baada ya mwaka akalifunga hilo duka kwa maana haoni faida hata kidogo, kwa siku atauza labda bidhaa 3-5 then anategemea Huduma za mobile money (eg tigo pesa) kumuingizia kipato cha ziada.

4) UMUHIMU WA KUWA NA WEBSITE NA KUJI BRAND VIZURI
ukiingia kwenye ma group ya kuuza na kununua vitu facebook, utaona watu wanauza vitu vingi tu. Here is the problem wanatumia account zao halisi, they have good products wengi wao ila hawajaweza kuji brand vizuri, branding is very important. Kupata logo nzuri, website nzuri inaonesha kweli upo serious na biashara yako. Also kuna indicators nyingi ambazo hawa consider kwamba mteja anahitaji ili kumuamini, wateja wengine wapo nje ya mj uliyopo watakuamini vipi hadi atume mzigo. hii yote inahitaji branding nzuri. Website pia ni authority indicator kubwa sana, ukiwa nayo tu utajiungezea trust by 50%, na kutengeneza website kwa ajili ya biashara yako haina process kivile watu tu wana complicate.

5) COMPETITION REALLY DOESNT MATTER SANA AS LONG AS KUNA MARKET
This might sound off kwa wengine lakini it is the truth, kama kuna bidhaa ina competition kubwa ina maana kuwa market ipo ya kutosha. Kilichobakia hapa ni kui corner tu market na kuwa authority kwenye hiyo product, mimi ndio nilianza kwenye soko la kuuza hizi armbands za mazoezi wengi walipoona tu kwamba inafanikiwa na comments/orders nyingi sana, wakaanza kuingia kwenye soko, na kwa mda kulikua na competition kubwa lakini it didnt matter kwa kuwa nilijiweka kama authority kwenye hiyo product, na nikaweza teka soko. Nikaja kujaribu same formula kwenye bidhaa ambazo zina competition tiyari na nikafanikiwa kuteka masoko hayo pia, kwa kutumia tactics nilizojifunza kwenye hii product ya kwanza.

Hizi ni baadhi tu ya snaposhot za mamia ya comments na wateja wakiulizia product hii

armband-1-1.jpg

Hii hapa ni kwa ajili ya kenya

armband-2-kenya.jpg

(Kama kuna mtu alikutana na hizi post akitumia mitandao ya facebook/instagram atakua amejua ni brand gani ambayou nilikua natumia kuuzia hii product)

Anyway long story short nilipoanza hii biashara nikaacha kukimbia, nilipoteza kidogo hizo kilo nilizotaka kupoteza, ila zimerudi tena so kama kuna mtu ata suggest a good way kupoteza kilo kama 7 hivi ndani ya mwezi mmoja au miwili tafadhali acha comment hapo chini.

Baada ya bidhaa hii moja nika tengeneza formula ya jinsi ya kutafuta bidhaa itayo rahisisha maisha ya watu na kuziuza kutoka nyumbani tu, nika implement kama mara tatu hadi nne hivi successfully, now nimeandaa course inayofundisha mambo yote haya kuanzia kuagiza bidhaa hadi kuja kuuza. kuwafikia watu wengi sana, ukiwa nyumbani tu na mengine mengi, siyo rahisi kama ninavyoongelea hapo juu it needs alot of preparation kuji present kama authority na watu kukuamini ili utume mzigo hadi nchi zingine. kama kuna mtu atapenda jua zaidi i will be teaching watu wachache tu mambo yote ninayo yafahamu kupitia Link hii hapa
Maelezo yako mazuri, yamefungua mlango uliokuwa umefungwa.
 
mkuu salute kwako mm.naulizia ukishaagiza mzigo kutoka china kwa mfano vp kodi wanakataje? mfano nimeagiza bidhaa 5 kila bidhaa ni shilingi 10000 jee watakata kodi kiac gan kila bidhaa?
Inategemea na aina ya shipping mimi nilikua na saa na earring kutoka China kupitia posta sikuwahi kulipa ushuru.
 
Mimi kuna swali nimekua najiuliza dar ina watu milioni 6 kama ntakua na product ya kuuza sh 500 halafu nikaweza kuwafikia wateja 1000 tu kwa siku hiyo ni sh laki tano. Naitafuta hiyo bidhaa
 
Mkuu ulivyoanza na bidhaa nkasema mbona huitaji jina nkaanza kupata hisia mbaya hasa uliposema piece 20....nkajua hizi zitakuwa kete(ngada) tu! Nikutake radhi. Sema nxt time anza na kutaja bidhaa wadau wasije wakakuita central kuisaidia Polisi.
 
Mimi kuna swali nimekua najiuliza dar ina watu milioni 6 kama ntakua na product ya kuuza sh 500 halafu nikaweza kuwafikia wateja 1000 tu kwa siku hiyo ni sh laki tano. Naitafuta hiyo bidhaa
Inategemea na mahali ulipo..kama upo uswahili au congested area uza askirimuuu..mtaji mdogo faida kubwa!
 
nice !!! 4 a good clarification,, we need people like yu.....!!!
in addition,,, ili kupata iyo bidhaa in a very simple way without overthinkng is exploring in yur interests......!!!
 
Mimi kuna swali nimekua najiuliza dar ina watu milioni 6 kama ntakua na product ya kuuza sh 500 halafu nikaweza kuwafikia wateja 1000 tu kwa siku hiyo ni sh laki tano. Naitafuta hiyo bidhaa
Sembe
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom