Vitu Vingine sio vya Kuiga,,,

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
281221_550188721659846_1394098102_n.jpg
 
Watu huofia kupata UKIMWI(HIV/AIDS) na kwamba "watakufa"..lakini homa ya Ini(Hepatitis) ndio balaa zaidi.
And you can easily get it through a tattoo!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha old goat umeuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mambo ya Walawi 19 : 28

Msichanje chale yo yote
katika nyama ya miili yenu kwa
ajili ya wafu, wala msiandike
alama miilini mwenu; mimi ndimi
Bwana.
 
  • Thanks
Reactions: awp
asante kwa kuleta vichekesho jf, kapanua domo utafikiri kalazimishwa.
 
Waooooooooooo kaka yangu kumbe upo? naona avator mpya!

Urembo wa aina hii hata siutamani

Kuna makabila huweka tatoo mwilini, mathalani Wamakonde.
Nipo ndugu yangu, hiyo avatar nilikua naitumia kitambo kuna dada yangu mmoja hapa JF gfsonwin huipenda sana.
 
Last edited by a moderator:
Kuna makabila huweka tatoo mwilini, mathalani Wamakonde.
Nipo ndugu yangu, hiyo avatar nilikua naitumia kitambo kuna dada yangu mmoja hapa JF gfsonwin huipenda sana.

aiwaaaah!!!!!!!!!!!!!!
umenikosha kweli kweli kwa hili mdogo wangu.
naipenda sana hii avatar.
asante sana kwa zawadi ya sikukukuu.
 
Back
Top Bottom