Vitu vinavyoitwa Home Work, Tuition na sasa Pre form One ni janga kwa mtoto

Nmshukuru baba angu pale baada ya kumaliza darasa la saba alinambia mwanangu miaka saba ni mingi pumzika .

nilikaa nyumbani nikajifunza kilimo huku nikiuza miwa. Aisee nilifaidi sana elimu ya ujasiriamali kidogo.
 
ki ukweli tukiruhusu hili likashika miziz litakuja kuwa tatizo ndani ya mfumo wetu wa elimu…..
 
Hizi shule zetu za Mwendo kasi zinadhania muda wote mtoto ni kusoma tu, ndiyo maana kuna mtu kasema ukiwa na pesa peleke mtoto wako International School.

International school hakuna huu uhuni wa kinacho itwa Home work, Tuiotions na Sasa preform one.

Watoto wanamaliza wakiwa hawana maarifa yoyote kichwani nje ya walicho kuwa wana kalilishwa, make Home work yenyewe mtoto unakuta anatakiwa kuchora mto Congo, Tuitions za kwenda kusoma types of Rocks.

Mtoto anamaliza standard seven, hapo kati kati alikuwa anashindiliwa home work za kufa mtu, baada ya hapo anaanza Preform One, mtoto hatapumzika basi afundishwe elimu ya Dunia.

Akimaliza Preform one ataunganisha Form One, mwezi wa 6 wakifunga ni tuition, mwezi wa 12 tuitions akimaliza Form 4 huyu kichwani hana kitu zaidi ya elimu ya mito na wapigania uhuru.

Watoto hawana muda wa kufundihswa elimu ya Duniani, make hii ni muhimu sana kwa sasa tena mbaya uwe mtoto wako muda wote kakaa Bording na ndo maana wahindi hawatakagi watoto wao wake Bording chunguza.

Wazazi nao unakuta wanashangilia wanaona sifa mtoto kurundikiwa Home work, huyo mtoto anahitaji kupumzika anahitaji afundishwe elmu nyingine nje ya mfumo wa shuleni, utafundishwa lini wakati kuna Home work, Tuiotion na Preform one?

Wahindi huwa wanataka watoto wao wasome day maana yake ni watapata muda wa kumfundisha elimu nyingine nje ya mfumo wa shuleni ndo kama vile kwenda dukani na kadhalika pia wanapewa Exposure kwa kutolewa out mara kwa mara na kujengewe confidence.

Sasa tujiulize Watoto wetu muda wa kuwajengea Confidence ni upi? Lini wanapata exposure wakati muda wote ni daftari?

Una watoto?
Kama unao basi wafunze wawe kama unavyotaka, wapeleke shule unazoona zinawafaa ili wapate hicho unachopigia kelele!
Huko kwenye tuition, homework pre form one na kadhalika waachie hao wazazi wengine wanaohitaji kupeleka watoto wao humo!
Kama huna watoto basi zaa, then uwatreat unavyopenda!
Halafu nikuulize, hivi wewe ulisoma shule za namna gani? Na je baada ya kumaliza ulitoka shuleni ukiwa na ujuzi gani ambao pengine ungetaka wengine waurithi?
 
Hizi shule zetu za Mwendo kasi zinadhania muda wote mtoto ni kusoma tu, ndiyo maana kuna mtu kasema ukiwa na pesa peleke mtoto wako International School.

International school hakuna huu uhuni wa kinacho itwa Home work, Tuiotions na Sasa preform one.

Watoto wanamaliza wakiwa hawana maarifa yoyote kichwani nje ya walicho kuwa wana kalilishwa, make Home work yenyewe mtoto unakuta anatakiwa kuchora mto Congo, Tuitions za kwenda kusoma types of Rocks.

Mtoto anamaliza standard seven, hapo kati kati alikuwa anashindiliwa home work za kufa mtu, baada ya hapo anaanza Preform One, mtoto hatapumzika basi afundishwe elimu ya Dunia.

Akimaliza Preform one ataunganisha Form One, mwezi wa 6 wakifunga ni tuition, mwezi wa 12 tuitions akimaliza Form 4 huyu kichwani hana kitu zaidi ya elimu ya mito na wapigania uhuru.

Watoto hawana muda wa kufundihswa elimu ya Duniani, make hii ni muhimu sana kwa sasa tena mbaya uwe mtoto wako muda wote kakaa Bording na ndo maana wahindi hawatakagi watoto wao wake Bording chunguza.

Wazazi nao unakuta wanashangilia wanaona sifa mtoto kurundikiwa Home work, huyo mtoto anahitaji kupumzika anahitaji afundishwe elmu nyingine nje ya mfumo wa shuleni, utafundishwa lini wakati kuna Home work, Tuiotion na Preform one?

Wahindi huwa wanataka watoto wao wasome day maana yake ni watapata muda wa kumfundisha elimu nyingine nje ya mfumo wa shuleni ndo kama vile kwenda dukani na kadhalika pia wanapewa Exposure kwa kutolewa out mara kwa mara na kujengewe confidence.

Sasa tujiulize Watoto wetu muda wa kuwajengea Confidence ni upi? Lini wanapata exposure wakati muda wote ni daftari?
Hii Ni kweli, Shule ni kiwanda cha kutengeneza wafanyakazi, na sisi kwa kutokujua tumeingie kwenye mtego wa kuachia shule ndio walee watoto wetu, ni kosa kubwa sana, Mzazi anatakiwa atengeneze watoto wake mwenyewe kwani ndie anajua anataka kuwapeleka wapi na Shule iwe ni sehemu ya kuchukua ujuzi, Mifano mizuri ni wazee waliotengeneza mali kwa jasho ila wakifa na mali zinakufa Kwani watoto wametumia muda mwingi kwenye shule za bweni,na hawajua kuendeleza mali za wazazi, na kwa kupotea kabisa wanasema zilipatikana kwa ushirikina, ni jukumu la kila mzazi kuamua mustakabali wa watoto wake.
 
Hapana sio muhaya.

Sio kwamba najisifu bali nimeaandika ili waone faida ya kujifunza na kusoma au kufanya mambo tofauti na shule kunavyofanya mtu ubongo uweze kukomaa na kujitambua.

Asilimia 80 ya wanafunzi wote Tanzania kuanzia msingi hadi secondary ni wajinga na wala hawajitambui sababu ya kukosa hiyo elimu tofauti na shule.

Mkuu naona unatumia nguvu nyingi kuwaelewesha watu ambao huenda nao wamepitia kwenye mfumo huo huo wa elimu unaoupinga. Kwahiyo kwao ni ngumu sana kuona hayo mapungufu unayoyataja!

Sisi mambo mengi tunafanya kwa kufuata mkumbo. Ukija mkumbo wa kupeleka watoto english medium nasisi tumo. Ukija mkumbo wa pre form one na tuition na sisi tumo hakuna anaetaka kubaki nyuma.. whether ni mfumo mzuri au mbaya sisi hilo halituhusu wala hatutaki kujua, na mtu akija na mawazo tofauti pia hatutaki kumsikiliza tunaona anatupotosha.
 
sio kweli mkuu, Steve aliishi maisha magumu sana mpaka akaamua kuacha chuo kwa kukosa karo. Nenda youtube kasikilize historia yake aliyo simulia kwenye mahafari Stanford University 2005

Hivi mkuu unayajua "maisha magumu sana" ya mzungu aliepo Marekani? Unaweza kuyalinganisha na maisha ya mtanzania?
 
Wanasema tunatumia ubongo kwa asilimia chache sana hivyo ubongo unaweza ukajazwaaaaa na kujazwaaa waache wajazweee
 
Nakumbuka nikiwa form one likizo ya mwezi wa sita nilimwambia mzee wangu naomba hela niende tuition mzee akanijibu shule unayosoma huhitaji tuition basi kuanzia hapo ikawa ni kula maisha tu likizo nzima mpaka siku ya kufungua shule ndio unakumbuka tena daftari

Naunga mkono hoja
 
Nasikitika sana kwa mawazo yako hayo!

Hivi unafahamu hawa watoto wa siku hizi new generation kabisa! Kivipi?
> Utandawazi umewakaba usisikie
> Uwezo wa kujitambua wenyewe upo chini mnoo
> Ukiwapa kanafasi kidogo bila ya kuwafatilia umekwisha.

MBINU NA MIKAKATI YA KUWAJENGA NI KUWAKEEP BUSY NA MASOMO MUDA WOTE HADI MUDA WA KULALA ILI KUONDOA LOOPHOLE KWA HIKI KIZAZI.

HIVYO TUIRIONS,HOMEWORK, KUTOA ONYO MIKWARA NA KUTOKUCHEKA NAO OVYO OVYO PAMOJA KUWAFUATILIA KIKAMILIFU NI NJIA SAHIHI KABISA.
Eboooooo!!!
umeandika pumba tupu, nyinyi ndo wale watu mliokuwa ''Brain Washed'' hata maana ya kuelemika hamjui. mtoa mada yupo sahihi kabisa. Elimu ya mtu ya mazingira na ''dynamics'' za mazingira yote yanayomzunguka ndiyo ''tool '' muhimu ya kujishindia changamoto za maisha yaki. kinachotusumbua wengi na hata KUNA WATU WANA PESA LAKINI HAWAJUI MAANA YA ELIMU wanadhani hayo ma ''homework na kukaririshwa mambo ya shule ndo kuelimika. dunia haiko hiyvo, mtoto asome mambo ya shule kwa muda kiasi na apate muda wa kuona REAL WORLD huyo ndo ameelimika na amini usiamini , huyu ndo anaweza kukabiliana na Dunia.
 
Na Still wanafeli.

Mfumo wa elimu ni mbovu kupitiliza.

Hiyo preform one haitomsaidia sababu haiwezekani usome kiswahili miaka saba then uje kujifunza English ndani ya miezi mitatu ili uende kusoma masomo yanayotumia english only.

Kama mzazi wa huyo mtoto angekuwa anajielewa na kujitambua basi angemfundisha english mwenyewe au kwa kutumia internet yenye kila kitu na hicho ndicho anachomasnisha mleta mada.
Wazazi wangapi wanajua English TZ.walimu wenyewe English inawagonga. Cha muhimu Fanya kinachowezekana mtoto spate cheti.Tz in ya vyeti labda kama unataka mtoto wako sense kufanya kaxi nje ya nchi.Tanzania haina dira ya elimu.
 
Mmeamuelew? Tunasafari ndefu sana
Ndugu ukiwa JF uwe mpole maana hujui unaojadiliana nao 'their credibility' ! Kwa hio mchukulie poa tu usimbeze ndio upeo wake ulipoishia.
Walimu hufundishwa chuoni kitu kinaitwa 'Comparative education' ili kuweza kuunda mtaala wowote, sasa akija mtu akapinga kulinganisha na kujifunza kwa waliokuzidi mpuuze. Huwezi ish kwa kuangalia kabila lako tu kisa wale weupe.AF unasahau hao weupe wamekuletea kila kitu cha kisasa hata hio simu unayotumua kuandika ugolo.
 
Mambo hayo kwa uchache ni haya.

Kusoma vitabu tofauti na vya masomo ya shule ambavyo mara nyingi ni kusoma ili ujibu mitihani.

Naamanisha vitabu vya kuongeza maarifa yaani vitabu ambavyo kwa asilimia 80 unaweza kuapply ulichokisoma in real life kama vitabu vya business,tech,sci, psychology,novel nk na sio vile vya hisabati na kiswahili au geography ambavyo zaidi ya kujibia mitihani hakuna cha maana.

Kujifunza na kusoma mambo mapya na yanayoendelea duniani kwa sasa.
Mfano kufuatilia siasa za ndani na nje
Kujifunza na kufuatilia music wa nje
Kuangalia dunia inaendaje
Kujifunza lugha mbalimbali
Kujifunza lugha za computer nk
Kufanya project zako mwenyewe
Kutumia internet kujifunza vitu vipya
Kufuhatilia midahalo mikubwa inayoendelea duniani nk

Na hapo huyo mtoto lazima ajitambue na kujielewa kwani ataona jinsi gani mambo yalivyo kwa upana wake hivyo ufahamu wake utapanuka kitu ambacho shule zetu kamwe hazitoweza kufanya.
Huyo mtoto ataona na kujifunza mengi makubwa yenye faida na lazima aje kufanya makubwa.

Na sio mtoto shule na yeye yeye na shule hapo utakuwa unatengeneza robot asiyejitambua kazi ya itakuwa kuendeshwa kama jinsi alivyokuwa programmed na hatoweza kufikiria nje ya box zaidi ya aliyoyajua shule pekee na hapo mtaani kwao ambapo mara nyingi mazingira ni mabovu yanayoharibu mtoto kwa asilimia 75%.

Kuna watu wamesoma sana lakini vichwa vyao ni vitupu na wanayoongea, kuyafanya na kuandika huwa yanasikitisha sababu wamekosa elimu nyingine zaidi ya ile ya shule ni kama mtoto wa miaka miaka miwili anayejua kuongea lakini hawezi kuandika wala kusoma.

Hayo ni kwa mtazamo wangu mimi.

Kwa mtazamo wa mleta mada ameandika kwenda na mtoto dukani au ofisini, kmtembeza sehemu mbalimbali ili ajifunze mambo mapya na kumfundisha jinsi unavyofanya hayo mambo yako unayofanya wewe mfano biashara nk.
Kwa ufupi unamaanisha kwamba kuna baadhi ya masomo kwako huoni umuhimu wake na ukayataja kwa mfano HISABATI NA KISWAHILI mda huohuo umenijibu kwa kiswahili je ulizaliwa ukiwa unakijua? Na je uliamka tu siku moja ukaanza kuandika na je umejuaje kama kwa jinsi ulivyopangilia sentensi zako nitakuelewa... tukija kwenye Hisabati je unauhakika hili somo halina matumizi kwenye maisha ya kila siku? au ni ufahamu wako ndio mdogo kwenye hiyo Kada...
Tukija kwenye hayo unayosema ni muhimu je mtoto unataka aanze computer programming akiwa na miaka mingapi? Je psychology inamfaa mtu wa miaka miangapi mana hili somo lipo watu wanafundishwa pia
 
Kwa hoja hii, ni jukumu letu sasa kupambana kubadili mitaala yetu ili kuondoa ile Colonial Legacy.

Ila kuhusu ishu za Pre form one, nk. Hakuna namna. Ukijifanya mbishi, watoto wako waatakuja kukulaumu hapo baadae. Wakubwa wote wanapeleka watoto wao huko kwenye Pre form one. Hivyo na sisi makabwela tu tutaenda huko huko.
Hao wakubwa unaowahusudu wametatua changamoto gani mpaka uwafuate mawazo yao ?Tofauti ni kuwa yeye kapata bahati ya kuwa waziri na wewe hujaipata ila sidhani kmna wanakuzidi akili.Akili zao ni kama zako tu tena wengine unawaacha mbali kielimu na ki IQ.
Binafsi mkubwa naemkubali hapa Afrika ni Aliko Dangote ndio MTU namuona anavisheni kubwa na IQ kubwa kuliko hao viongozi unawaogopa, natamani angekuwa Mtanzania ningejifunza mengi.Mwingine ashakuwa marehemu, MR. Mengi(rip) hao kweli wameonesha uahalisia.Sio mtu anafanya magumashi af anakuwa role model wako.
 
Hapana sio muhaya.

Sio kwamba najisifu bali nimeaandika ili waone faida ya kujifunza na kusoma au kufanya mambo tofauti na shule kunavyofanya mtu ubongo uweze kukomaa na kujitambua.

Asilimia 80 ya wanafunzi wote Tanzania kuanzia msingi hadi secondary ni wajinga na wala hawajitambui sababu ya kukosa hiyo elimu tofauti na shule.
Mi nahisi wewe ndio mjinga unaishi maisha ya ndoto za bwana mmoja anaitwa ALI-NACHA hujui kua Elimu ni hatua kwa hatua
 
Ni kweli Tanzania haina dira ya elimu ila kwanini serikali isibadirishe?

Sababu ni hapo kwenye cheti tu ndipo unapozidi kuzalisha watu wenye elimu mbovu na kufanya mataifa yetu yaendelee kuwa masikini na tegemezi sababu wao wana vyeti lakini ni vichwa vyao vitupu.

Ukitaka kujua vichwa vyao ni vitupu ni pale ambapo serikali inashindwa kutoa uamuzi wa kuamua kutumia lugha moja shuleni iwe kiswahili au english na badala kuendelea na mfumo wa kutumia kiswahili primary then ghafla unaswitch english alafu unategema wanafunzi wafaulu vizuri then unasema wanafunzi hawana akili.

Sio kwamba wanafunzi hawana akili kama wanavyosema bali lugha ndio tatizo na huwezi ukasoma kitu ukakielewa kama lugha ya unachokisoma huielewi badala yake wanakariri then wanasau.

Yaani wanakariri vitu amavyo hawavielewi.
Ukisoma ukaelewa hutosahau ila ukisoma na hujakielewa bali umekariri ni lazima usahau secondary hakuna kitu kigumu.

Hayo yote serikali ni zao la vyeti tu na sio watu wanaojitambua na ndio maana bado hawajafanya kitu mpaka leo hata hao walimu ni zao la hivyo vyeti na sio uelewa.

Ila hapo kwenye English najua wazazi wengi hawajui English ila wazazi wengi wanamiliki simu ambazo kuna internet ambayo ina kila kitu ndani yake.
Na mtoto ubongo wake ni rahisi kujifunza na kushika vitu vipya ukichangia English ni lugha rahisi sana.

Hata mimi English nimejifunza mwenyewe kwa internet since darasa la tatu.
Unajua kuna watu walifukuzwa kazi kwa sababu hawakuwa na vyeti ila walikuwa na maarifa? Raisi wako anahusudu vyeti wewe hutaki mtoto wako apate cheti unamtakia heri kwel? Imagine TZ ajira in chache ila wazazi wanafunzi wanajazana vyuoni kusoma ujuzi wa kuajiwa ili wapate vyeti.
Kizazi cha bila vyeti bado hakijaja labda miaka 20 ijayo.Pigania cheti mkuu.Raisi,waziri,kamishna,wakurugenzi,maafisa,maprofesa,wakufunzi,walimu, wazazi wengi bado wanahusudu vyeti we nani wakupi ga vyeti, mkuu kama huelewi shauri yako.Subiri matokeo ya drs 7 usikie ufaulu umepanda sana ila wahitimu hawawezi kuongea kingereza walichofaulu sana.Mkuu pigania cheti mkuu hunielewi? TZ unayoifikiria wewe sio ya kizazi hiki bado sana na muda utaamua wenyewe wala nguvu haitatumika.
 
Mtu anayemtukana mtu mwengine mjinga na yule ambaye sio mjinga nani mjinga?

Jibu mjinga ni wewe sababu hujitambui na hujui kama hujitambui kutokana na comment yako.
sikulaumu sababu hilo ni zao la hiyo elimu uliyosoma ambayo imekufundisha kuona opinions zako ni sahihi 100%
Hivyo atakaye kupinga umeprogramiwa kumuita mjinga.

Na sababu nyingine inayothibitisha wewe Mjinga.
Ni kwamba comment yako imejaa hisia ambazo zinaakisi mindset yako ambayo imejaa usuperior na kwamba wewe ndio uko sahihi na unajua kila kitu kitu hivyo mindset yako umeifunga kupokea mawazo tofauti na mtu huyo anapokuwa disappointed au mawazo hayo tofauti hajayakubali hata kama ni ukweli huishia kutukana au kukejeli nk
kitu ambacho wajinga wengi wanacho na wanakionesha bila kujua mmoja wapo ni wewe kati ya hao wajinga.

Hivyo ulichoandika nimejua kwanini umeandika hivyo so you're hundred percent right.
Hapana sio muhaya.

Sio kwamba najisifu bali nimeaandika ili waone faida ya kujifunza na kusoma au kufanya mambo tofauti na shule kunavyofanya mtu ubongo uweze kukomaa na kujitambua.

Asilimia 80 ya wanafunzi wote Tanzania kuanzia msingi hadi secondary ni WAJINGA na wala hawajitambui sababu ya kukosa hiyo elimu tofauti na shule. SIDHANI KAMA HUU NI UJUMBE WANGU ninamashaka na uwezo wako wakukumbuka
 
Ni kuuliza mbali na masomo yanauo tolewa mtihani na NECTA je kuna elimu nyingine mnawapa watoto? Internatuonal school wana hadi madarasa ya miziki na vyombo, wana michezo kila aina Je sisi?

Unazania labda kwa nini wahindi huwa wanaenda na watoto wao dukani? Unajua sababu?

Pale wana inject vitu kwa watoto wao nje shule
Kwa mantiki hiyo hizo international zinatoa wachezaji timu ya Taifa, zinapeleka nje wachezaji,zinatoa wanamuziki bora, zinatoa wasanii bora.Mbona mi siwajui hao waliopitia hizo shule ila kina harmo rapa ambao wamesoma kayumba.
 
Lakini ukweli wewe ni mjinga sababu ya comment yako ilivyokaa ina nia ya kubomoa na iliyojaa hisia za wazi za chuki zilizoshabihiana na ujinga ndani yake.

Soma vizuri nilichoandika sidhani kama umeelewa.

Au unajaribu kukataa kwamba wewe sio mjinga?
Kijana soma . Acha kupoteza muda mitandaoni mitihani yako ya kidato cha nne inakaribia
 
Back
Top Bottom