VITU VINAVYOCHANGIA WANAWAKE WATUMISHI (MADAMS) WENGI WAPOTEZE DIRA:

mbari

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
509
421
Mambo ni hivi wanawake weng ambao watumishi weny ajira za kudumu uwa wanapotezaga dira kwa sababu:-
1)Wanapoanza kazi wanajifanya masister du yaani wao ndio wao!
2)Wanapoanza kazi wanajifanya hawayawezi maisha ya kijijini inapelekea kugawa penzi ili wapangiwe mjini bila kujali wanapunguza utu wao!
3)Wapatapo waume bora wa kuwaoa hujifanya wana wapenzi wao huko dar yaani kila unayeemuuliza mme mumewe yupo dar kumbe hamna lolote!
4)Maisha ya kuact mara hali ugali,mara kuku kila siku mara mavipodozi ya hela nyingi Mara club bila kuyachunguza vizuri Maisha ya ualimu!
5)Kujifanya wanajua kupenda inawapelekea kuchukua mikopo na kuwapa wanaume bila kujua wanaume wasasa ni vibaka wanasepa na kuwaachia madeni!
6)Wakiwa na stress hawatulizi akili wakitongozwa na wapiga debe twende,bodaboda twende,Waliooa twende'walevi twende!
7)Wanapenda mteremko na kujifanya wajuaji na kuigeuza jamii inayowazunguuka hailewi kitu!
8)Wakiachwa wanataka kumkomoa mwanaume kwa kugawa kwa bidii bila kujali kwamba wanajidharaulisha wenyewe!
9)Ikishazalishwa ndio inastuka huku soko la ndoa limeisha na mikopo kibao!
10)Kutokuwa na bajeti yaani wanakwenda kama ng'ombe tuu!
MAISHA MNAYACHEZEA WENYEWE BAADAE MNATUSUMBUA SISI KWA KUTUPIGA VIZINGA!!
 
Utu wa mtu huwa haupungui mkuu,kila mtu anaviwango vyake alivyo jiwekea.sema wakati fulani unajikuta unatenda kwa faida ya wanaokuzunguka wakati huna uwezo wa kuwaridhisha wote.
 
Back
Top Bottom