Vitu nisivyovipenda nikiwa naendesha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitu nisivyovipenda nikiwa naendesha.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jan 28, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Sipendi mwendesha pikipiki awe mbele yangu.
  Sipendi tabia ya taxi kuchomekea bila sababu ya msingi,
  Sipende Bajaj zinavyoendeshwa.
  Sipendi guta wanavyong'ang'ania kutumia barabara kubwa wakati service roads zipo.
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bji acha tu,tena unapopita pale mitaa ya kariakoo,mara people,bajaji,guta,tax,daladala,yanai balaaaaa
   
 3. R

  Renegade JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  We acha tu , kule kwetu banana wauza mayai wa kikurya ni wababe ile mbaya, awakawii kuvunja vioo vya magari.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  vita ni vita mura..
  Hao jamaa ni wakorofi wakikaa barabarani hawataki kuyapisha magari.
  Yaani huwa wananikera kweli.
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ni ushamba tu unawasumbua na vimtumba vyenu. mnadhani ukiokota kamtumba ka gari basi wewe peke yako unastahili kuachiwa barabara? hamjui hata kuku ana haki ya kutumia barabara?

  kwa taarifa yenu hata kupigia watu honi hamruhusiwi, unampigia akupishe kwani barabara yako pekee? huyo unayetaka akupishe sio mlipa kodi?

  tena mnagonga watu hata kwenye alama za punda milia! eti kisa umempigia honi hakupisha, mna laana nyie, hizo rushwa zenu mnazowapa trafiki ndio tiketi yenu ya kuendea kuzimu.

  acheni ushamba
   
 6. O

  Omumura JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama ukiwagonga unategemea nini sasa!!
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  yani utatamani kulia guta wanakaa katikati ya barabara na usijeukakosea likakugonga linaumiza gari kweli

  imaging guta katikati, pembeni baiskeli or pikipiki mbele daladala limechomeka khaa
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  yani nikitoka kitunda unakumbana nao wanataka kukuovateki kapakia trei za mayai kibao wanajaa katikati ya barabara
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  yani ukiwagonga usisimame yani kimbia kwani dk 2 wameshajazana kama mia na awaulizi ni kipigo kwa kwenda mbele
   
 10. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Sipendi madem wanokodoa macho kujua nani anendesha na amekaa na nani. Hivi kwa nini ?
   
 11. R

  Renegade JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Do, we lazima utakuwa FISADI, Maana asilimia 95 ya watanzania wanaendesha magari mitumba ya JAPAN, Japo wajapani wenyewe wameipa grade lakini bado ni mitumba. Na sasa siku hizi wengi wananunua kutoka Zanzibar, ile isiyo na JAAA. Ukitaka kushuhudia we kaa katika kituo cha Dala2 asubuhi utaona mitumba inavyofukuzana.

  Kuku barabarani na Haki? LOL , Nafikiri umekosea hapa tunazungumzua barabara ya magari na siyo Pedestrians. Je wewe unaweza kutembea kati ya barabara wakati gari inakuja?
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  asante kwa ujumbe wako mzuri, wenye tabia hizo naamini watajirekebisha.
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  I like that man!! polite, simple na hakuna papara!
  another great thinker!!
   
 14. R

  Renegade JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  MURA, Utalipa mayai ,vioo vya gari sijui kama vitapona na wewe mwenyewe break ya kwanza Hospitali. Kuhusu Traffic Case hilo sina Jibu.
   
 15. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wenye tabia hizo akina nani? si ndio nyinyi mnaosema hampendi naniliu wakati mnapoharisha??? vimitumba vyenu barabarani???????/

  simple and clear............
   
 16. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  aaah. mimi sina gari natumia daladala sikereki
  acheni hizo
   
 17. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ha ha haaaa...
   
 18. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160

  Sio Madem tu bwana hata wakaka yaani mtu anakodoa mimacho utafikiri kuna kitu amepoteza kitu ndani ya magari ya watu. mnaangalia nini?
   
 19. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Guta ndiyo nini?
   
 20. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #20
  Jan 28, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha.kama huvipendi hivyo vitu basi hama Tanzania kwani hivi haviepukiki...nenda Marekani.
   
Loading...