Vitu muhimu vinavyohitajika katika kuanzisha garage

Jaby'z

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
4,296
7,603
Habari wakuu!!
Kichwa kinajieleza, kama kuna mtu anamiliki garage anaweza kushare experience.
 
Pressing machine
Compressor
Complete set Toolbox
Complete/Partial Spare parts
Job Card
Record book
Delivery book
Receipt book/EFD machine
Retractable Stand
Proffessional/Reputable Workers
.....
 
Pressing machine
Compressor
Complete set Toolbox
Complete/Partial Spare parts
Job Card
Record book
Delivery book
Receipt book/EFD machine
Retractable Stand
Proffessional/Reputable Workers
.....
Shukrani mkuu, Vipi kuhusu mashine za kuchongea kama lathe machine, shaper machine etc
 
Middle kiongozi sio kubwa wala sio ndogo, budget ya 30M
Budget yako itakuwa hivi, ranging na machaguo yako ya vifaa:
Pressing machine (2-4Mil)
Compressor (3-5Mil)
Complete set Toolbox (2-5Mil)
Complete/Partial Spare parts (your budget)
Receipt book/EFD machine (5-8k)
Retractable Stand (3-8Mil)
 
Budget yako itakuwa hivi, ranging na machaguo yako ya vifaa:
Pressing machine (2-4Mil)
Compressor (3-5Mil)
Complete set Toolbox (2-5Mil)
Complete/Partial Spare parts (your budget)
Receipt book/EFD machine (5-8k)
Retractable Stand (3-8Mil)


Shukrani mkuu, ntakupm nikihitaji taarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom