Anatokwa na vitu kama usaha uumeni

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
kuna mtu apa nmemsindikiza hospitalini juzi, anatokwa na vitu kama usaha uumeni ila havina ata harufu ya usaha vinatoka taratibu yaani kidogo kidogo, alvoenda hospital dr. alimwambia hana ugonjwa wa ngono ila ana uti kali inawezekana hii,
 
Kuna mtu hapa nimemsindikiza hospitalini juzi, anatokwa na vitu kama usaha uumeni ila havina ata harufu ya usaha vinatoka taratibu yaani kidogo kidogo, alvoenda hospital Dr. alimwambia hana ugonjwa wa ngono ila ana uti kali inawezekana hii,

Tatizo litakua ni nini?
 
UTI kupata mwanaume kwa njia ya mbele ni ngumu sana.amini nakueleza watu wanaopenda kula tigo hili tatizo ni sugu sana kwao.
 
kuna mtu apa nmemsindikiza hospitalini juzi, anatokwa na vitu kama usaha uumeni ila havina ata harufu ya usaha vinatoka taratibu yaani kidogo kidogo, alvoenda hospital dr. alimwambia hana ugonjwa wa ngono ila ana uti kali inawezekana hii,

tatizo litakua ni nini
Lukocyte zikiwa 500/HPF hyo Hali hutokea kabisa hapo achome ceftriaxone 1g kwa siku 5 au apige penadul 3 dose kila moja tako moja kwa wiki tatu
 
uti kupata mwanaume kwa njia ya mbele ni ngumu sana.amini nakueleza watu wanaopenda kula tigo hili tatizo ni sugu sana kwao.
Kwa sababu UTI inaptikana katika haja kubwa na wanawake Ni rahisi wao wakati wa kunawa watoa nyuma wanaleta mbele na maumbile yao yalivyo rahisi kupata
 
kuna mtu apa nmemsindikiza hospitalini juzi, anatokwa na vitu kama usaha uumeni ila havina ata harufu ya usaha vinatoka taratibu yaani kidogo kidogo, alvoenda hospital dr. alimwambia hana ugonjwa wa ngono ila ana uti kali inawezekana hii,

tatizo litakua ni nini
Hilo ni Gono nenda hata hospital nyingne akapimwe tena jibu litabaki ni Gono hilo
 
Ni kweli mkuu iyo ni UTI kali sana iliyokuwa Sugu. Mimi mwenyewe ishawahi nitokea iyo ikabidi nimtafute ndugu yangu mmoja yupo Alafa hospital, mwezi mmoja tu ilo tatizo likakimbia.

Mwambie asiende kupiga sindano 5 zile za UTI maana utaongeza tu tatizo.zipo dawa zake ambazo unameza mwezi mzima.nakumbuka dozi 1 tu, zingine nimezisahau. Kuna sindano 1 + dozi ya mwezi + Herigo kit(dozi ya mwezi mzima).

Gharama ni kama Tsh.100, 000.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom