Salaam wakuu.
Kwa muda sasa nimekuwa nina interest ya kujifunza graphic design ila sijajua pa kuanzia, nimekuwa niki Google na kuangalia video YouTube lakini bado sijapata mwanga.
Sana Sana nimekuwa naona program zinazotumika ambazo ni Photoshop, in designer na illustrator sijajua hizi program zinapatikana vipi.
Kwa wataalam wa hya mambo naombeni mawazo yenu au a b c za graphic design.