Vitu gani vinakuvutia kutoka mkoa wa Morogoro (Mji kasoro Bahari)?

Kweli mkuu sema kipingi hicho kaumba haikuwa club..lilikuwa duka tu la kina bro apolinari.

Kweli pale tulikuwa tunakatisha tuuu kaumba tunatokea ngoto/konga, nilisoma zangu tuition kwa mng'ong'o mtawala.Nilikuwa njia yangu juu.
 
Nafikiri itakuwa ni moja ya stand kubwa Nchini Tanzania ikimalizika ata Ubungo itakuwa haiwezi tia Mguu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepitia leo morogoro, stend kubwa na ambayo imekamilika kwa 95+ % ni ya singida ukiachia ubugo ambayo ni kongwe na haina sehemu za kuchikingia jua/mvua kwa kiwango kikubwa.
 
Msamvu hiyo ni Noma ndani ya Moro town
Kuna siku nimetupa chupa ya maji hapo stand, watu wakaniambia kwa usalama wako iokote la sivyo hutatoka getini bila faini ya elfu 50. Sikuwa na jinsi bali kurudi kuokota kibobo changu
 
siku ya kwanza kufika hapa si nikapitia hili geti kumbe liko mbali na chuo (kuna ki mwendo kama dk 7)

kuja kufahamu kuna kinjia cha mkato pale shule ya adriani nilicheka sana maana kupandisha kimlima si mchezo

moro mji safi sana
Ha haa pole. Ukute unaenda yale mabweni karibu na primary. Ni zaidi ya dk 7. Sio nusu saa kweli?
 
Jordan university college, Mzinga corporation Jeshini, nje huku Ngerengere Airforce base, Kizuka, Nane Nane

Ngw'ana Kabula
Kizuka ndo kuna airforce jwtz,Ngerengere,sangasanga ndo unaenda kukutana na 92kj pamoja na 121kj

from kibiti
 
Back
Top Bottom