GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,335
- 1,778
Binafsi ni inshu ya faru, vifo vya viongozi, vifo vya wachezaji wa mpira brazili, kupata Mungu mtu Tz, wewe je?
Binafsi ni inshu ya faru, vifo vya viongozi, vifo vya wachezaji wa mpira brazili, kupata Mungu mtu Tz, wewe je?
Msamiati mpya mtaan "Kuisoma namba "Binafsi ni inshu ya faru, vifo vya viongozi, vifo vya wachezaji wa mpira brazili, kupata Mungu mtu Tz, wewe je?
Hahahaaaa eti utaniKupewa ruhusa ya kufyatua watoto kwa kuwa elimu ni bure, baadaye tena waziri akasema ule ilikuwa ni utani tu
Labda tulikuwa tunaigiziwaMahakama ya mafisadi kukosa washtakiwa.
Bila kusahau hela za tetemeko kuliwaKupatwa kwa jua,
Tetemeka kagera
Kukamatwa kwa melo