Vitu gani ambavyo huzingatiwa ili ulipie kodi ya ardhi?

okiwira

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,787
2,853
Vitu gani ambavyo huzingatiwa ili ulipie kodi ya ardhi?

Mfano miji mingi ambayo ndo inaanza kukuwa wengi hawajapima viwanja vyao.

Je, mimi binafsi nikitaka kuanza kulipia nahitajika nipitie wapi ili nianze kulipia kiwanja changu ambacho hakina nyumba?
 
Umesoma hii

USSR
tapatalk_jpeg_1629367424861.jpg
 
Je nikitaka kuipata hiyo CODE CONTROL niwe nalipia kiwanja changu naifuata TRA? Na hiyo code control itakuwa inatambua kuwa hili eneo ninalolipia lipo mahala flan kwa ukubwa flani?
 
Back
Top Bottom