snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,704
- 23,632
niliwahi kusema habari wengine wanataka zenye harufu ya fenesi hapa watu wakanibishia!mwnanadamu bwana!ndio maana wanasema, kuishi vizuri na mume, mpende kidogo, ila umuelewe kwa sanaaa
maisha yanakuwa burudan ingawa sometimes tc too hard kuwaelewa hawa viumbe, kwa mfano....
kuna kipind nilikuwa nagombana sana na husby kisa hapendi nimuulize yuko wap...anadai maswali kama hayo yanamshushia hadhi kwa wenzie, nikaona poa, nikaacha kuuliza kiac kwamba hata kama kachelewa vp kurud, siuulizi kwa kupiga sim, wala akija home, siuliz zaid ya kumuuliza ameshinda vipi, na wala sigombani nae au kumkasirikia anaporud amechelewa, haikupita hata mwez akaanza kunipigia mwenyewe akilalamika vipi siku hizi mbona sijali tena yuko wapi na nan, na anafanya nini,..tena akaongezea au labda nimewekeza kwa mwingine....nikachoka kwa kweli...