Vitu ambavyo huwavutia wanaume wamwonapo mwanamke zaidi ya muonekano...!

Hata mim make up situmii kabisa wala mawigi,ila nataka kujifunza kutengeneza nywele maana nna nywele fupi kama amber
 
Hii ni kweli kabisa

Mfano kama umetoka au unakwenda mazoezini...inapendeza sana

Kila kitu kwa kiasi...

Napenda Muda wa kuamka au wa kwenda kulala...

Hapo kwenye tabasamu mmmmmmh
 
in my side as a man napenda mwanamke nae awe mchangiaje wa mambo mnayo ongea kwa hapo nampa point tatu km man u vile
 
kuna watu wengine by nature si waongeaji sana hasa kama hawajamzoea mtu, sasa mtu kama huyu anatakiwa kufanya nini ili kuendeleza mazungumzo?
 
Back
Top Bottom