Vitu ambavyo huwapagawisha wanaume wamwonapo mwanawake.......!

Kaka Kaizer, sisi ni wapendwa katika bwana, usiwe na hofu. Kwanza Asprini angekuwa hubby wangu huyu ningeshakufa kwa pressure

Inakuwaje sikufaham ram il hali na mi nasali kanisa hilo hilo na cacico....mmmh? come this way haraka
 
Last edited by a moderator:
Unajua mimi ni mwinjilisti, so safari za vijijini ni nyingi kwenda kutafuta kondoo waliopotea, hata hivyo hakijaribika kitu, nitamwambia babu atukutanishe, so usijali

Inakuwaje sikufaham ram il hali na mi nasali kanisa hilo hilo na cacico....mmmh? come this way haraka
 
Last edited by a moderator:
Kaka Kaizer, sisi ni wapendwa katika bwana, usiwe na hofu. Kwanza Asprini angekuwa hubby wangu huyu ningeshakufa kwa pressure
Hahahahahaha!!! Khaaaa! Presha ya nini sasa? Mi siyo hubby material?
 
  • Thanks
Reactions: ram
Last edited by a moderator:
Kishakujibu? Hebu waambie nazinyonyaje?

chuchu%5B1%5D.BMP
Kweli, we acha tu, na huu mfungo!
 
Mwanzangu wee.... huduma jana ilikuwa ngumu sana huku kijijini so nilichelewa kurudi town, hope leo nitawahi ibada

tena mi nishafika kwenye ibada! mbona ram simuoni?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom