Vitu ambavyo huwapagawisha wanaume wamwonapo mwanawake.......!

Cha kushangaza wanawake wenye sifa zote hizo huwa hamuwaoi! Mnawatumia tu then at the end of the day mnawaacha mnaoa wanawake wa kawaida sana, afu mkishaoa mnaanza kuwacheat wake zake kwa kutoka na hao warembo..kwa nini hua hamuwaoi??eti Mtambuzi?
Purple kwanza nataka ujue kwamba hakuna mtu mwenye sura mbaya, (Ni tafsiri tu zilizowekwa na jamii katika kuwabagua watu kwa misingi ya ubaya na uzuri). Mimi sikuzungumzia sura kama ndio kigezo ikiwa ni pamoja na hizo sifa nyingine.......... Nimezungumzia namna ya kuboresha muonekano wa mwanmke ili aweze kuwavutia wanaume.........
naona hapa watu wamekurupuka tu na kupotosha kile nilichozungumza....... mwanaume kwanza huvutiwa na mwanamke kisha ndipo anaanza kuchunguza tabia na mambo mengine, miongoni mw asifa zinazowavutia wanaume ni hizo nilizozitaja..... Au watu wametishwa na hizo sura za hao warembo hapo?
Lengo langu lilikuwa ni kuweka uhalisia.
 
Last edited by a moderator:
feature_singleladies-153x153.jpg

1. Sura nzuri yenye mvuto

Lakini isiwe imesiribwa mapipodozi mpaka inachusha, inatakiwa iwe na simple make up za kiushakaji na macho yawe mazuri na yawe yanavutia hasa pale unaporembua.

Screen-Shot-2011-10-10-at-10.10.33-AM.png

2. Tabasamu

Leo ngoja niwape siri, hakuna kitu kinachowavutia wanaume kama tabasamu la mwanamke. kama mwanamke anataka kumshawishi mpenzi, basi tabasamu iwe ndio nyenzo muhimu. mwanaume huwa hapindui kwa mwanamke mwenye tabasamu bashasha.

african-hair-braiding-styles-for-women2.jpg

3. Unywele

Nywele huwa zinawaangusha wanawake wengi, unakuta mwanamke kashupalia mtindo huo mmoja wa nywele kwa mwezi mmoja.. Hee hauna hela ya saloon? inatakiwa kama umedumu na mtindo mmoja wa nywele basi isizidi wiki moja, lakini mwezi...! hiyo si sawa kabisa. kwa taarifa yenu nywele huwa zinawavutia sana wanaume hasa zinapokuwa zimetengenezwa kwa umahiri mkubwa. jamani eh msije mkatengeneza nywele mkapitiliza, ipo mitinndo mizuri ya nywele ambayo inafaa hata kuingia nayo maofisini. usitengeneze nywele mpaka unakuwa centre of attraction. hiyo siyo kabisa.

upload2world_27317.jpg

4. Kivazi

wanawake wengi huchemsha katika mavazi, yapasa kila mwanamke ajue ni mavazi gani yanaendana na mwili wake, sio ukimuona mwenzio kapendeza na kivazi flani na wewe unakurupuka. siku hizi ukienda kwenye maduka ya nguo maaarufu kama Boutique unakutana na wataalamu wanaoweza kukushauri mavazi gani yanakupendeza kulingana na mwili wako. watumieni ili msije tia aibu mkipata ki date.

bridal_shoes.jpg

5. Kiatu

Kiatu nacho kina mvuto wake, wanaume wengi hupenda kuchunghuza aina ya kiatu alichovaa mwanamke kabla ya kutoka naye. kuna wanawake wengine wanapenda kuvaa viatu ambavyo vinawapa shida kutembea, unakutana na mwanamke kavaa kiatu kirefuuu eti anaenda na wakati lakini akitembea kama ngongoti...mweh..! tafuta kiatu ambacho kitakufanya uwe huru kutembea utakavyo......

6. Makalio

Naamini hata wanawake wenyewe wanajua ni kiasi gani wanaume wanafagilia sana makalio au kishuzi kama vijana wa mjini wanavyoita. wanaume hawapendi makalio makuubwa sana, wanapenda makalio ya wastani, na kama mwanamke amejaaliwa kalio kubwa, basi inabidi awe makini na aina ya mavazi atakayokuwa anavaa... asipendelee mavazi yatakayokuwa yanamshepu sanaaa. anatakiwa kuwa na mavazi yatakayoweza kumsitiri makalio yake yasimchore kivilee.................

Halo Mtambuzi, nipo hapa na Erotica na ananinong'oneza kwamba kwa uzoefu wake Namba 6 (Makalio) ndo huwapagawisha wanaume wengi hapa Tanzania. Tena eti yakiwa saizi ile ya avatar ya Chai maharage, ndo hupata kichaa kabisa sio kupagawa tu! Amesema atatoa thread kuhusu hizi mambo za kupagawishana. Halafu anaongeza kwa kukuuliza kwa nini kwenye kivazi(namba4) umetoa picha ya shogaake @gfsowin?
Halafu pia kwenye Namba 5 (kiatu), binafsi naona chenye umuhimu hapo si kiatu ila 'Mguu' bana. Mwanamke ni mguu jamani!uuuuuwi! Natamani muone mguu wa my honey Erotica.(Naomba radhi kujisifia my honey wangu) Hii thread tumeipenda sana.
 
jamani wanawake mpooo? mwanaume kafunguka hapo sio umezaa watoto wawili umajiachiaaaa kisa nimeshakuwa mama si kihivyo
 
feature_singleladies-153x153.jpg

1. Sura nzuri yenye mvuto

Lakini isiwe imesiribwa mapipodozi mpaka inachusha, inatakiwa iwe na simple make up za kiushakaji na macho yawe mazuri na yawe yanavutia hasa pale unaporembua.

Screen-Shot-2011-10-10-at-10.10.33-AM.png

2. Tabasamu

Leo ngoja niwape siri, hakuna kitu kinachowavutia wanaume kama tabasamu la mwanamke. kama mwanamke anataka kumshawishi mpenzi, basi tabasamu iwe ndio nyenzo muhimu. mwanaume huwa hapindui kwa mwanamke mwenye tabasamu bashasha.

african-hair-braiding-styles-for-women2.jpg

3. Unywele

Nywele huwa zinawaangusha wanawake wengi, unakuta mwanamke kashupalia mtindo huo mmoja wa nywele kwa mwezi mmoja.. Hee hauna hela ya saloon? inatakiwa kama umedumu na mtindo mmoja wa nywele basi isizidi wiki moja, lakini mwezi...! hiyo si sawa kabisa. kwa taarifa yenu nywele huwa zinawavutia sana wanaume hasa zinapokuwa zimetengenezwa kwa umahiri mkubwa. jamani eh msije mkatengeneza nywele mkapitiliza, ipo mitinndo mizuri ya nywele ambayo inafaa hata kuingia nayo maofisini. usitengeneze nywele mpaka unakuwa centre of attraction. hiyo siyo kabisa.

upload2world_27317.jpg

4. Kivazi

wanawake wengi huchemsha katika mavazi, yapasa kila mwanamke ajue ni mavazi gani yanaendana na mwili wake, sio ukimuona mwenzio kapendeza na kivazi flani na wewe unakurupuka. siku hizi ukienda kwenye maduka ya nguo maaarufu kama Boutique unakutana na wataalamu wanaoweza kukushauri mavazi gani yanakupendeza kulingana na mwili wako. watumieni ili msije tia aibu mkipata ki date.

bridal_shoes.jpg

5. Kiatu

Kiatu nacho kina mvuto wake, wanaume wengi hupenda kuchunghuza aina ya kiatu alichovaa mwanamke kabla ya kutoka naye. kuna wanawake wengine wanapenda kuvaa viatu ambavyo vinawapa shida kutembea, unakutana na mwanamke kavaa kiatu kirefuuu eti anaenda na wakati lakini akitembea kama ngongoti...mweh..! tafuta kiatu ambacho kitakufanya uwe huru kutembea utakavyo......

6. Makalio

Naamini hata wanawake wenyewe wanajua ni kiasi gani wanaume wanafagilia sana makalio au kishuzi kama vijana wa mjini wanavyoita. wanaume hawapendi makalio makuubwa sana, wanapenda makalio ya wastani, na kama mwanamke amejaaliwa kalio kubwa, basi inabidi awe makini na aina ya mavazi atakayokuwa anavaa... asipendelee mavazi yatakayokuwa yanamshepu sanaaa. anatakiwa kuwa na mavazi yatakayoweza kumsitiri makalio yake yasimchore kivilee.................
basi inabidi nimshukuru mungu sana tuu katika sifa zote sita ulizozimention hapo 5 ninazo kasoro makalio makubwa sina kwa kweli ila ninacho cha valia jinzi hahaha
 
Aaah Chimunguru Kumbe waogopa kutunza, hujui kuwa vitu vizuri vinagharimiwa? lol!

yaani hapa kwenye matunzo kwa kweli mnatufilisiga kabisa, manake kila wiki saluni, kila siku nguo tofauti, kiatu tofauti, make-up tofauti, loh akyanani nikute eti mwanaume analamba mke wangu, walahi lazima nifungwe kwa mada kesi!
 
duu nani anataka kuoa kizunguzungu?!manake asilimia kubwa ya mademu wenye sifa hizi hawajatulia au wanashawishiwa haswa na wenye nazo sa na ukute huyo demu hana msimamo ndo atakuwa anamegwa na watu tofauti kila kukicha!
 
Wakati nataka kuoa hivyo vyote alivyosema Mchambuzi wala sikuviangalia. Nilangalia na kuvutiwa zaidi na hekima na nidhamu ya mwenzi wangu.
 
Mtambuzi kuna mtu aliniambia 'the beauty of the lady lies in the eyes of the beholder'..
Lakini katika tembea yangu nimegundua kuna wakati macho yote yanatafsiri kitu kimoja katika maana ileile..i mean kuna watu ni warembo naturally yaan hata wasipotupia hizo..'makeups' bado they look beatiful..na wanaonekana hivyo kwa kila mtu!...Hii habari ya kusema mwanamke mrembo ni 'mkewangu tu' binafsi naona ni kujifariji tu!..
Kingine nilichogundua kwetu huku Afrika mabinti warembo ni wachache sana..so, competition inakuwa kubwa na wengi tunaamua kurejea kwa wale wa kawaida..itoshe tu kusema kila mwanaume anahitaji binti mrembo..but very few people tunaweza kuafford competition especially huku Africa..so, the easy way ni ku'adopt' 'sizitaki mbichi hizi' slogan
 
basi inabidi nimshukuru mungu sana tuu katika sifa zote sita ulizozimention hapo 5 ninazo kasoro makalio makubwa sina kwa kweli ila ninacho cha valia jinzi hahaha

Kwahiyo utakuwa na muundo kama huyo #4.
 
Mtambuzi kuna mtu aliniambia 'the beauty of the lady lies in the eyes of the beholder'..
Lakini katika tembea yangu nimegundua kuna wakati macho yote yanatafsiri kitu kimoja katika maana ileile..i mean kuna watu ni warembo naturally yaan hata wasipotupia hizo..'makeups' bado they look beatiful..na wanaonekana hivyo kwa kila mtu!...Hii habari ya kusema mwanamke mrembo ni 'mkewangu tu' binafsi naona ni kujifariji tu!..
Kingine nilichogundua kwetu huku Afrika mabinti warembo ni wachache sana..so, competition inakuwa kubwa na wengi tunaamua kurejea kwa wale wa kawaida..itoshe tu kusema kila mwanaume anahitaji binti mrembo..but very few people tunaweza kuafford competition especially huku Africa..so, the easy way ni ku'adopt' 'sizitaki mbichi hizi' slogan

Bwana SnowBall msemo kwamba uzuri huwa uko kwenye jicho la mtazamaji, sio kwa yule au kile inachotazaamwa una ukweli kidogo. Kwa nini? Kwa sababu watafiti wengi wa masuala ya saikolojia ya upendo wana ugunduzi tofauti.

Wanasema wamebaini kwamba, kunakuwa na makubaliano, yasiyo rasmi katika jamii kuhusu uso mzuri au mbaya. Ina maana kwamba, pamoja na kuwa, kila mtu ana namna yake ya kupima uzuri wa sura, bado kuna ule uzuri unaopangwa na jamii. Taarifa mbalimbali za utafiti, ukiwemo utafiti uliofanywa na jarida la Experimental Psychology; Human Perception and performance, zinaonesha kwamba, msemo huo wa zamani una nguvu yake, lakini siyo kwa asilimia mia moja. Ni kama vile una nguvu nusu, na hili la jamii kuwa na vigezo vyake vya uzuri wa uso lina nguvu nusu.

Hii ina maana gani? Kwamba unapoona mtu fulani ni mzuri au mbaya wa sura, ujua hapo kuna maono yako nusu na maono uliyofundishwa na jamii kuhusu uzuri, nayo ni nusu. Ndio maana kwa hali hiyo, unaweza kukuta idadi kubwa a watu mahali wakasema fulani ni mzuri au mbaya. Kama ingekuwa uzuri na baya uko kwenye macho ya mtazamaji, yaani yeye ndiye anayeamua siyo kile kinachotazamwa, basi kungekuwa hakuna mahali ambapo, watu wengi wangeunga mkono kuhusu uzuri au ubaya wa sura ya fulani.

Kuwepo kwa hali hiyo, kunaonesha kwamba, jamii nayo, bila kuambiana au kufanya vikao, inakuwa tayari ina vigezo vyake kuhusu uzuri. Hiyo ipo kila mahali duniani. Kila unapoenda utakuta watu wanahesabu uzuri au ubaya kwa vigezo fulani.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi ahsante kwa kwenda in deep kuhusu kutambua nani ni mzuri na nani si mzuri au ni wa kawaida!
Kama ulivyosema binadamu wana 'instinct' wanaweza kutambua kwa kuunganisha dots na kutoa maana kwa vile ambavyo jamii na mazingira yameruhusu. Kutokana na utamaduni huu ndio maana tumekuwa na mashindano ya 'mamiss' ambayo wakt mwingine utakuta hata sisi watazamaji tunawakatalia majaji kwamba 'no' aliyeshinda sio mzuri kama aliyeachwa. i still believe that beautiness of somebody is something common to everybody!

Maana yangu ni kwamba hata 'uliposema haya ndio mambo yanayowapagawisha wanaume'..obviously umejaribu kuuvaa uhusika wa uwanaume and through experiences, traditions and situations umegundua kuwa mwanamke akiwa katika mazingira hayo basi walau wanaume wataridhika naye na pengine kutoka naye. Ikumbukwe pia hakuna pahala 'wanaume' waliwahi kukaa na kukubaliana vigezo vya kuwapagawisha..but this might be coming from experiences kama nilivyosema.

Kwa mtazamo wangu vigezo na maono ambayo jamii imeyaweka yanachukua nafasi kubwa pengine zaidi ya nusu kama ulivyosema kuliko yale ya mtu mmojammoja ambayo yanatokana mara nyingi na 'nafasi ya mhusika'
 
Last edited by a moderator:
feature_singleladies-153x153.jpg

1. Sura nzuri yenye mvuto

Lakini isiwe imesiribwa mapipodozi mpaka inachusha, inatakiwa iwe na simple make up za kiushakaji na macho yawe mazuri na yawe yanavutia hasa pale unaporembua.

Screen-Shot-2011-10-10-at-10.10.33-AM.png

2. Tabasamu

Leo ngoja niwape siri, hakuna kitu kinachowavutia wanaume kama tabasamu la mwanamke. kama mwanamke anataka kumshawishi mpenzi, basi tabasamu iwe ndio nyenzo muhimu. mwanaume huwa hapindui kwa mwanamke mwenye tabasamu bashasha.

african-hair-braiding-styles-for-women2.jpg

3. Unywele

Nywele huwa zinawaangusha wanawake wengi, unakuta mwanamke kashupalia mtindo huo mmoja wa nywele kwa mwezi mmoja.. Hee hauna hela ya saloon? inatakiwa kama umedumu na mtindo mmoja wa nywele basi isizidi wiki moja, lakini mwezi...! hiyo si sawa kabisa. kwa taarifa yenu nywele huwa zinawavutia sana wanaume hasa zinapokuwa zimetengenezwa kwa umahiri mkubwa. jamani eh msije mkatengeneza nywele mkapitiliza, ipo mitinndo mizuri ya nywele ambayo inafaa hata kuingia nayo maofisini. usitengeneze nywele mpaka unakuwa centre of attraction. hiyo siyo kabisa.

upload2world_27317.jpg

4. Kivazi

wanawake wengi huchemsha katika mavazi, yapasa kila mwanamke ajue ni mavazi gani yanaendana na mwili wake, sio ukimuona mwenzio kapendeza na kivazi flani na wewe unakurupuka. siku hizi ukienda kwenye maduka ya nguo maaarufu kama Boutique unakutana na wataalamu wanaoweza kukushauri mavazi gani yanakupendeza kulingana na mwili wako. watumieni ili msije tia aibu mkipata ki date.

bridal_shoes.jpg

5. Kiatu

Kiatu nacho kina mvuto wake, wanaume wengi hupenda kuchunghuza aina ya kiatu alichovaa mwanamke kabla ya kutoka naye. kuna wanawake wengine wanapenda kuvaa viatu ambavyo vinawapa shida kutembea, unakutana na mwanamke kavaa kiatu kirefuuu eti anaenda na wakati lakini akitembea kama ngongoti...mweh..! tafuta kiatu ambacho kitakufanya uwe huru kutembea utakavyo......

6. Makalio

Naamini hata wanawake wenyewe wanajua ni kiasi gani wanaume wanafagilia sana makalio au kishuzi kama vijana wa mjini wanavyoita. wanaume hawapendi makalio makuubwa sana, wanapenda makalio ya wastani, na kama mwanamke amejaaliwa kalio kubwa, basi inabidi awe makini na aina ya mavazi atakayokuwa anavaa... asipendelee mavazi yatakayokuwa yanamshepu sanaaa. anatakiwa kuwa na mavazi yatakayoweza kumsitiri makalio yake yasimchore kivilee.................

Mi nataka demu awe na KI MGONGO CHA UCHOKOZI, awe na SHANGA KIUNONI, halafu kitandani AWE ANAKATIKA ASILALE KAMA GOGO I mean awe anajituma kitandani yaani mtundu. Hapo mimi BURUDAAAAAAAAAAAAAAAANI ISIYO KIFANI. Vinginevyo sina haja nae. Halafu awe fundi wa kushika MIC.
 
feature_singleladies-153x153.jpg

1. Sura nzuri yenye mvuto

Lakini isiwe imesiribwa mapipodozi mpaka inachusha, inatakiwa iwe na simple make up za kiushakaji na macho yawe mazuri na yawe yanavutia hasa pale unaporembua.

Screen-Shot-2011-10-10-at-10.10.33-AM.png

2. Tabasamu

Leo ngoja niwape siri, hakuna kitu kinachowavutia wanaume kama tabasamu la mwanamke. kama mwanamke anataka kumshawishi mpenzi, basi tabasamu iwe ndio nyenzo muhimu. mwanaume huwa hapindui kwa mwanamke mwenye tabasamu bashasha.

african-hair-braiding-styles-for-women2.jpg

3. Unywele

Nywele huwa zinawaangusha wanawake wengi, unakuta mwanamke kashupalia mtindo huo mmoja wa nywele kwa mwezi mmoja.. Hee hauna hela ya saloon? inatakiwa kama umedumu na mtindo mmoja wa nywele basi isizidi wiki moja, lakini mwezi...! hiyo si sawa kabisa. kwa taarifa yenu nywele huwa zinawavutia sana wanaume hasa zinapokuwa zimetengenezwa kwa umahiri mkubwa. jamani eh msije mkatengeneza nywele mkapitiliza, ipo mitinndo mizuri ya nywele ambayo inafaa hata kuingia nayo maofisini. usitengeneze nywele mpaka unakuwa centre of attraction. hiyo siyo kabisa.

upload2world_27317.jpg

4. Kivazi

wanawake wengi huchemsha katika mavazi, yapasa kila mwanamke ajue ni mavazi gani yanaendana na mwili wake, sio ukimuona mwenzio kapendeza na kivazi flani na wewe unakurupuka. siku hizi ukienda kwenye maduka ya nguo maaarufu kama Boutique unakutana na wataalamu wanaoweza kukushauri mavazi gani yanakupendeza kulingana na mwili wako. watumieni ili msije tia aibu mkipata ki date.

bridal_shoes.jpg

5. Kiatu

Kiatu nacho kina mvuto wake, wanaume wengi hupenda kuchunghuza aina ya kiatu alichovaa mwanamke kabla ya kutoka naye. kuna wanawake wengine wanapenda kuvaa viatu ambavyo vinawapa shida kutembea, unakutana na mwanamke kavaa kiatu kirefuuu eti anaenda na wakati lakini akitembea kama ngongoti...mweh..! tafuta kiatu ambacho kitakufanya uwe huru kutembea utakavyo......

6. Makalio

Naamini hata wanawake wenyewe wanajua ni kiasi gani wanaume wanafagilia sana makalio au kishuzi kama vijana wa mjini wanavyoita. wanaume hawapendi makalio makuubwa sana, wanapenda makalio ya wastani, na kama mwanamke amejaaliwa kalio kubwa, basi inabidi awe makini na aina ya mavazi atakayokuwa anavaa... asipendelee mavazi yatakayokuwa yanamshepu sanaaa. anatakiwa kuwa na mavazi yatakayoweza kumsitiri makalio yake yasimchore kivilee.................

Vyoote nakubaliana nawe............ One thing! Usafi wa hali ya juu ukiambatana na perfume nzuri iliyopoa.
As for me, hata kama kila kitu ulichotaja atakuwa nacho, especially Nywele, but niki sense any unwelcoming smell, i write off!!!!!!!!!!!1
 
hata mtoto wa kike wembamba una mata xaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana,ka yupo BIG UP XANA...
 
Mtambuzi ahsante kwa kwenda in deep kuhusu kutambua nani ni mzuri na nani si mzuri au ni wa kawaida!
Kama ulivyosema binadamu wana 'instinct' wanaweza kutambua kwa kuunganisha dots na kutoa maana kwa vile ambavyo jamii na mazingira yameruhusu. Kutokana na utamaduni huu ndio maana tumekuwa na mashindano ya 'mamiss' ambayo wakt mwingine utakuta hata sisi watazamaji tunawakatalia majaji kwamba 'no' aliyeshinda sio mzuri kama aliyeachwa. i still believe that beautiness of somebody is something common to everybody!

Maana yangu ni kwamba hata 'uliposema haya ndio mambo yanayowapagawisha wanaume'..obviously umejaribu kuuvaa uhusika wa uwanaume and through experiences, traditions and situations umegundua kuwa mwanamke akiwa katika mazingira hayo basi walau wanaume wataridhika naye na pengine kutoka naye. Ikumbukwe pia hakuna pahala 'wanaume' waliwahi kukaa na kukubaliana vigezo vya kuwapagawisha..but this might be coming from experiences kama nilivyosema.

Kwa mtazamo wangu vigezo na maono ambayo jamii imeyaweka yanachukua nafasi kubwa pengine zaidi ya nusu kama ulivyosema kuliko yale ya mtu mmojammoja ambayo yanatokana mara nyingi na 'nafasi ya mhusika'
Mkuu SnowBall nakubaliana na wewe.............
Ahsante kwa kunielimisha..........................................
 
Last edited by a moderator:
wapendwa Mtambuzi na wengine,

ieleweke kuwa hakuna kanuni ya uzuri au mvuto kila mtu ana kitu fulani anachovutiwa na mwigine, tena vingine ni vichekesho kabisa. mfno, ulishasikia mtu akivutiwa na binti kwa sauti anazotoa anapotafuna chukula (yaani zile sauti za nyam nyam nyam...nyam)? au jinsi anavyokunja midomo yake wakati akitema mate? hapo ndipo ninapomuadhimisha Bwana Mungu wangu daima.

kwa hiyo wapendwa acheni kuleta hapa mambo ambayo mengine yako nje ya mtu binafsi, mfao, macho sijui ya aina gani, makalio, manyonyo, kiuno nk. hayo yote ni kazi ya Mungu, mnadamu hawezi kujiumba wapendwa. sana sana atakachoweza kufanya ni kuoga , kuvaa na kujipamba tu kama hali ya kiuchumi inaruhusu, zaidi ya hapo ni kumuonea tu binti wa watu, mnataka yeye afanyeje?? acheni kuwachanganya mabinti jamani.

mbarikiwe sana wapendwa,

Glory to God!

Miss Judith, ulishafunga ndoa? Ubwabwa ukala mwenyewe? Mungu akubariki sana. Anayekupenda anakupenda tu hata bila kuoga atakuja. Love matters a lot.
 
Back
Top Bottom