Vitu ambavyo huwapagawisha wanaume wamwonapo mwanawake.......! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitu ambavyo huwapagawisha wanaume wamwonapo mwanawake.......!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Jul 22, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,751
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  1. Sura nzuri yenye mvuto

  Lakini isiwe imesiribwa mavipodozi mpaka inachusha, inatakiwa iwe na simple make up za kiushakaji na macho yawe mazuri na yawe yanavutia hasa pale unaporembua.


  [​IMG]
  2. Tabasamu

  Leo ngoja niwape siri, hakuna kitu kinachowavutia wanaume kama tabasamu la mwanamke. kama mwanamke anataka kumshawishi mpenzi, basi tabasamu iwe ndio nyenzo muhimu. mwanaume huwa hapindui kwa mwanamke mwenye tabasamu bashasha.


  [​IMG]
  3. Unywele

  Nywele huwa zinawaangusha wanawake wengi, unakuta mwanamke kashupalia mtindo huo mmoja wa nywele kwa mwezi mmoja.. Hee hauna hela ya saloon? inatakiwa kama umedumu na mtindo mmoja wa nywele basi isizidi wiki moja, lakini mwezi...! hiyo si sawa kabisa. kwa taarifa yenu nywele huwa zinawavutia sana wanaume hasa zinapokuwa zimetengenezwa kwa umahiri mkubwa. jamani eh msije mkatengeneza nywele mkapitiliza, ipo mitinndo mizuri ya nywele ambayo inafaa hata kuingia nayo maofisini. usitengeneze nywele mpaka unakuwa centre of attraction. hiyo siyo kabisa.

  [​IMG]
  4. Kivazi

  wanawake wengi huchemsha katika mavazi, yapasa kila mwanamke ajue ni mavazi gani yanaendana na mwili wake, sio ukimuona mwenzio kapendeza na kivazi flani na wewe unakurupuka. siku hizi ukienda kwenye maduka ya nguo maaarufu kama Boutique unakutana na wataalamu wanaoweza kukushauri mavazi gani yanakupendeza kulingana na mwili wako. watumieni ili msije tia aibu mkipata ki date.


  [​IMG]
  5. Kiatu

  Kiatu nacho kina mvuto wake, wanaume wengi hupenda kuchunghuza aina ya kiatu alichovaa mwanamke kabla ya kutoka naye. kuna wanawake wengine wanapenda kuvaa viatu ambavyo vinawapa shida kutembea, unakutana na mwanamke kavaa kiatu kirefuuu eti anaenda na wakati lakini akitembea kama ngongoti...mweh..! tafuta kiatu ambacho kitakufanya uwe huru kutembea utakavyo......

  [​IMG]
  6. Makalio

  Naamini hata wanawake wenyewe wanajua ni kiasi gani wanaume wanafagilia sana makalio au kishuzi kama vijana wa mjini wanavyoita. wanaume hawapendi makalio makuubwa sana, wanapenda makalio ya wastani, na kama mwanamke amejaaliwa kalio kubwa, basi inabidi awe makini na aina ya mavazi atakayokuwa anavaa... asipendelee mavazi yatakayokuwa yanamshepu sanaaa. anatakiwa kuwa na mavazi yatakayoweza kumsitiri makalio yake yasimchore kivilee.................
   
 2. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,123
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Coooool!!!!
   
 3. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  zimetimia
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,751
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Manyonyo je?
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,751
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu hapa sijakiona, au ni PC yangu?
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,751
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,856
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  shukrani kwa darasa lako ndugu
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,751
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Midomo nayo inamvuto wake pia....................

  [​IMG]
   
 9. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,759
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mbunye tu ndo mwanzo mwisho.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  napenda tabia njema, sibabaiki na sura aliima jabali la Muziki Marijani Rajab
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hao mnaowatafute nyie lazima uwe fisadi ndo uweze ishi nao yaani ni too much DEMANDING
   
 12. R

  Rubesha Kipesha Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaah Chimunguru Kumbe waogopa kutunza, hujui kuwa vitu vizuri vinagharimiwa? lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. N

  Neylu JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,648
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Duh... Aisee si mchezo.. Mtambuzi umejua kutafuta picha za kuendana haswaaaa na unachokimaanisha... Big up..
   
 14. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hizo sifa si universal, ni relative.
   
 15. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,545
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Mtambuzi kuna wengine tuna makalio ya kihindi............umeniacha hoi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,104
  Likes Received: 38,406
  Trophy Points: 280

  hahahahah lol! bora ubaki nayo hayo hayo...usithubutu kutafuta makalio ya mchina...Utajuuta!!!
   
 17. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,545
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Presha zimezidi aisee.............maana kila siku mnakuja na vigezo vipya......ya kichina nayaogopa mwenzangu, will stick to my indian type
   
 18. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ni hizo tu au kuna zingine nyingi?
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,104
  Likes Received: 38,406
  Trophy Points: 280

  Stay away from fake ***...I am very proud of your decision...congratulations!...
   
 20. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,308
  Likes Received: 3,684
  Trophy Points: 280
  Bastola je? Miguu ya bia sijui, shingo za upanga vipi mkuu au za kizamani?
   
Loading...