Vitu 4 muhimu unavyopaswa kuvijua kabla ya kununua used iphone (iphone iliyotumika)

Hiyo ina network lock mkuu yaani ilifungwa itumike na mtandao mmoja tu mfano kwa marekani wana network kama sprint, At&t, T-mobile na mingineyo. Mfano rahisi ni simu za promotion za Tigo ukiweka laini tofauti na tigo haiwezi kusoma. Hivyo hiyo tablet unapaswa utafute ujue imefungwa na mtandao gani kisha umtafute mtaalam aifungue
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
Asante kwa taarifa lakini picha ya kwanza ya simu si iPhone hiyo ni Infinix, ila hizo zinazo fata ndio picha za iPhone
Mkuu Infinix nao siku hizi Wana iCloud pamoja na Siri au ndio hii Infinix inayopigiwa Debe kila sehemu sijui hot nine ten?
 
Picha ya kwanza ni Infinix ila picha zingine ndo iPhone hebu itazame picha ya kwanza ambayo ni full screen
Najua Infinix ni simu za kawaida na nilisema vile Kwa utani, lengo ilikuwa ni kushangaa ulipomwambia mleta Uzi kaweka picha ya Infinix na sio iPhone ilihali kila mtu kaona ni picha za iPhone
 
Back
Top Bottom