Vits CC 990 na Vitz RS CC 1290 zinatumia mafuta kiasi gani kwa kila 1? Lita 1 kwa KM ngapi?

Duh mie nawaza kuhamia kwenye cc 2500 na kuendelea kutoka kwnye hii cc 2000 ya sasa... gari zenye cc kubwa pamoja na consuption kubwa ya mafuta lakn ukiwa unalipush unaskia kbsa kuwa kuna kitu unakiendesha...ni gari zinakuwa na nguvu sana ..Inshallah one day tafika huko kwnye cc mpka 4000
Kila gari ina umuhimu wake, wadau wengi wanaandikia sifa au kulingana na uwezo wao. mimi natumia gari yenye cc1 100 na yenye cc 2700. kila moja ina umuhimu wake muda flani. hiyo ya cc 2700 haina maana sana misele ya katikati ya jiji..ila nikienda nje ya jiji ndio umuhimu wake ninauona.
 
Inaweza kua imekaa kiukakasi, but Honestly ujafikia hatua ya kununua Gari.

Pambana kwanza na Maisha Mengine.

Huwezi kua na judgement ya Cc990 na Cc 1290...hata kwa hesabu tu hapo tofauti ni 30Cc sasa hii ndio unasave nini.

Means:
Cc 990 itakua inaenda 1ltr to 15km,
If you divide 15km to 990Cc
Itakua 1Cc inaenda kwa 0.015Km

So ile diff yetu, 30Cc * 0.015
=0.45

Hata 1km haijafika.
Hesabu za sayari gani hizi?
 
Na ww hujafikia kufanyaje

Hakuna hesabu sa hvo jamaa umeandika utumbo ...na umeona kutoka 990 had 1290 kuna tofaut ya cc 30 😀 ...haya kwa hesabu yako hiyo nipigie hesabu za mafuta ya mazda rx8 1300cc
 
Duh mie nawaza kuhamia kwenye cc 2500 na kuendelea kutoka kwnye hii cc 2000 ya sasa... gari zenye cc kubwa pamoja na consuption kubwa ya mafuta lakn ukiwa unalipush unaskia kbsa kuwa kuna kitu unakiendesha...ni gari zinakuwa na nguvu sana ..Inshallah one day tafika huko kwnye cc mpka 4000

Tanzania ndo mnaendesha cc's 😀 kanunue bus kama unataka cc nyingi ...me naweza kuwa nina 2000cc ila ako na 350hp...

Na ww wakat wako wa kumiliki gari bado naona kuendesha yenye 2000 na kwenda 2500 ndo nn sasa umefanya ...mfano 2000cc 1G 6cyl afu uje uhamie 1jz fte 2500cc ....atleast ungesema unataka au unaacha gari yenye 160hp unahamia yenye 300hp
 
Back
Top Bottom