"Vitoto" vya kiume au vivulana muwe na heshima

Huu mkasa amenisimulia shoga yangu leo hii. Nikaona isiwe tabu na mie nitoe onyo hapa JF.

Huyu shoga yangu tangia alivyosikia kwenye bajeti ya Serikali kuwa mawigi na maurembo mengine yameongezewa kodi, alighadhibika akaamua bora anyoe nywele zake.

Sasa leo akaenda kwenye saluni ya wanaume (baba shopu), anasema baada ya kufika hapo kweli akahudumiwa vizuri, jambo lililomkera ni kale kavulana kalikokuwa kanamnyoa kalipoanzisha sound.
Anasema, kalianza kumuuliza "vipi dada unataka huduma ya scrub mwili mzima?" anasema akamjibu hapana, mie nataka kunyoa tu.

Kavulana kakaendelea, "sasa sikiliza sista, mie nakushauri nunua malighafi zote zinazotakiwa kwa ajili ya scrub mwili mzima, halafu mie nije nyumbani kwako nikufanyie bureee tena free of charge kabisaaa bila gharama yoyote"

Rafiki yangu amekasirika hadi muda huu ninavyotuma huu uzi.

Wito: ENYI WATOTO WAKIUME, WAVULANA, HEBU HANGAIKENI NA SIZE ZENU

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Amekasirika wapi nunueni tu dogo asafanyie kweli maana naona mmekuja kuandika humu ili kusubiri Adimins Approval mm nmeshawaruhusu tear
 
sasa wewe unaenda kwenye saloon hizo za ndogo ndogo unategemea nn? Tafuta zile kubwa na hata watu wanaonoya wawe watu wakubwa, vitu kama hivyo hauwezi kumbana navyo kabisa
 
Shida iko wapi? Kwani kamtukana?
Aamue kama anakubali au anakataa. Kivulana kinataka kulelewewa. Hakuna cha ajabu.
Huu mkasa amenisimulia shoga yangu leo hii. Nikaona isiwe tabu na mie nitoe onyo hapa JF.

Huyu shoga yangu tangia alivyosikia kwenye bajeti ya Serikali kuwa mawigi na maurembo mengine yameongezewa kodi, alighadhibika akaamua bora anyoe nywele zake.

Sasa leo akaenda kwenye saluni ya wanaume (baba shopu), anasema baada ya kufika hapo kweli akahudumiwa vizuri, jambo lililomkera ni kale kavulana kalikokuwa kanamnyoa kalipoanzisha sound.
Anasema, kalianza kumuuliza "vipi dada unataka huduma ya scrub mwili mzima?" anasema akamjibu hapana, mie nataka kunyoa tu.

Kavulana kakaendelea, "sasa sikiliza sista, mie nakushauri nunua malighafi zote zinazotakiwa kwa ajili ya scrub mwili mzima, halafu mie nije nyumbani kwako nikufanyie bureee tena free of charge kabisaaa bila gharama yoyote"

Rafiki yangu amekasirika hadi muda huu ninavyotuma huu uzi.

Wito: ENYI WATOTO WAKIUME, WAVULANA, HEBU HANGAIKENI NA SIZE ZENU
 
Sijaona tatizo hapo, kijana alikuwa anajaribu zali lake vile huenda wengine kama huyo huwa wanampa... ni mission failed tu hakuna tatizo lolote
 
Unanyanyuka taratiiibu, unamgeukia kwa tabasamu kama unamkubalia vile alafu unamnasa boonge la kofi. Shwain!

Hakikisha kabla hujafanya hayo, umesha mpigia simu bwana ako aje kukuokoa au aje kukuchukua hospital kama akichelewa

nimekupa tahadhari tu
 
Back
Top Bottom