Vitongoji hivi na makabila haya mkoani Mwanza (Mwanza City)

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
845
573
WAHAYA....
Hawa wanapatikana sana, Rufiji na Kirumba mlimani, huku ukifka unaweza hisi huko bukoba, kamachumu, karagwe au kaitaba. Kuna mpka mtaa unaitwa mtaa wa BUKOBA. Biashara yao ni ndizi na nyanya chungu.

WAKEREWE....
Hawa wamejazana kwa wingi Kabuhoro na mwaloni KIRUMBA..
ukifka mitaa hii utahisi uko Nansio na uko na Pius Msekwa au mama G .Mongella..wanafanya biashara ya samaki, dagaa na mazalio mengine ya samaki.

WAHA...
Hawa wanaoatikana sana NYANSAKA MSUMBIJI..ukienda kule utahisi uko Kasuli, Kakonko, Kagerankanda au Ujiji..hawa raia ni washirikina balaa, n mara chache kukuta MHA ana chale..biashara zao km walivo wachaga ni maduka.

WASHASHI....
Hawa wanapatikana kwa wingi..mitaa ya busweru, nyakato, na waliowengi wana maduka City Centre, sifa yao ni vigeugeu, (walimgeuka mpka mwenzao WENJE)...maduka mengi ya nguo na simu City Centre ni ya hawa raia..


WASUKUMA....
Hawa wanapatikana.kwa wingi nje ya mji KISESA, NYAMONGORO, USAGARA,NYANSHISHI, TX, BUGOGWA,IGOMBE...wengi wao ni wa nyumbani na makazi duni...nyumba za makuti na ufugaji wa ng'ombe...


WACHAGA..

Wengi wako bwru na..Pasiansi...ingawa wametapakaa sana kalbia mwanza nzima...biashara zao ni maduka kwa wingi...Hasa City Centre na wenzie Washashi...wanauza electronics..Simu, Vyombo vya mziki, Vyombo vya Nyumban, Magodoro

WAKURYA NA WAJARUO....

Wanapatikana sana Nyakato na igoma...wengi wao ni wakorofi, wadini(wasabato) wanamtaa unaitwa Rorya na sekondari inaitwa hivyo wanaosoma pale plus walimu 98% ni wajaruo na wakurya...sasa sijui kigezo cha kwanza uwe unatoka mara...


Karibu mwenye taarifa Zaidi...
 
Point of correction Washashi si kabila ila ni neno linalomaanisha watu wa Bunda. Hili lilitumiwa na wasukuma enzi za zamani likimaanisha mtu wa Bunda awe mjita, Muikizu, Msizaki hata Msukuma ilimradi tu anaishi Bunda.
 
Umesahau Mabatini imejaza wakurya na Washashi. Pia Buzuruga ni inawatu wa Mara kwa wingi. Igoma wengi wasukuma ila mchanganyiko kwa wageni ni 50%
 
Vipi.. Butimba. Hii ina waswahili kibao hasa Wanyamwezi. Wengi ni watu wa mikoa ya mbali lakini walikuja zamani enzi za mwatex ikivuma huu mtaa naufananishaga na mitaa ya ushwahilini huko Dar ie mtoni mtongani.
 
Wasukuma mnawaonea sana hawa mbona kila sehemu ya jiji wapo anzia mabatini nyakato mwananchi mbona wamejazana huko kibao mahina wakurya wamejaza maeneo ya nyambiti na bugharika wanyamwezi na waha wako igogo
 
Back
Top Bottom