Vitisho !vitisho! Ndo chanzo cha elimu kushuka?

sindano butu

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
503
157
Walimu wetu kwa kweli wanateswa na kuonewa kila siku kwamba ukikamatwa unatoa tuition hatua kali atachukuliwa.

Watoto wa shule za kata wamefeli sana ukicompare na shule maalum. Siri inayowafanya watoto wa shule maalum wanafaulu sana ni assess ya tuition warudapo nyumbani likizo wakirudi wanashare material na kuwafanya kufaulu sana.

Sasa hizi shule za kata wanafunzi hawana assess material ya nje sababu hakuna tuition. Halafu kitu kingine kuna wanafunzi wengine kuelewa mpaka akae karibu sana na mwalimu na hii kuipata ni mpaka tuition.

Kwa kweli serikali wanakosea sana kutoa vitisho kwa walimu kwani wanafunzi wanakosA additional materials kwa walimu. Na niseme elimu ni biashara huwezi kufundishwa kila kitu darasani lazima additional effort zifanyike kwa motivation ili walimu watiwe moyo.

Walimu wanatakiwa waheshimiwe jamani sio kuwapa vitisho. Mbona madaktari wanafungua mahospitali nawanatibu nje ya kazi bila kupewa vitisho. Jamani tuwaheshimu walimu wao ndo chanzo cha madakatari, maengineer na kila kitu.

Achieni tuition ziendelehe kama zamani ili watoto wetu wapate assess material mbalimbali na walimu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom