Elections 2010 Vitisho ni dalili za kushindwa, why vitisho? Pipoooz power!

DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
57
Probably you need to help me out!
Mara Tamwa funga mdomo wako !
Mara Mwananchi newspaper funga mdomo wako!
Mara Viongozi wa dini kaaa kimya-funga midomo yenu
Mara oooooooh damu haitamwagika kuwatisha wananchi

what is behind all this stupidity???? kwanini watu wanatumia madaraka kutunyanyasa? hivi ukipima mwananchi na uhuru lipi gazeti linatakiwa kufungiwa? hivi wanafurahi kuona Tamwa ikiwa wanafiki? hivi hawajui kama viongozi wa dini ni viongozi kama wao, ili uwaongoze waumini lazima uwape elimu sahihi ya urai, siasa inagharimu ukristo na uislamu wao, nani ataabudu kama ana njaa, hana huduma bora, hana matumaini? Hongera Kakobe kwa kuliona hilo na kutoa Elimu ya Urai na kulinda kondoo wako, si vizuri kiongozi kuwa mnafiki -nani hamjui Desmond Tutu kule bondeni???? viongozi wote wa dini zote tunawahitaji kutoa elimu ya urai na kusema ukweli si kuwa manafiki kwa kujali matumbo yao, shehk mkuu baba Pengo -ulishasema sema mafisadi wataiangamiza taifa hili huu ni wakati muafaka kuwakumbusha waumini waache ushabiki wa vyama na unafiki -wawatupilie mbali mafisadi na wanaolea na kuwaprotect mafisadi, wanaowapigia debe ya uongozi mafisadi-kubwa ni hili VITISHO vya nini??????????????? au kushindwa au kujihami au woga wa moto wa Dr.Slaa Dr. wa ukweli achana na madocta wa kupachikwa.
TBC mmeniudhi sana kuficha picha za Dr.Slaa mwanza mwogopeni Mungu sio jkkk
 
Vitisho havisaidii kitu, kinachotakiwa ni kurekebisha namna ya kuitawala nchi, hata wakiyatisha magazeti hawawezi kutisha fikra za wananchi.
 
The day will come, time is just around the corner... the people's power will be hearing the new changes..
These began with our vote's - 31/OCT/2010 a blessing day for our country. Be party and proudly for changes!!!
 
I hear the sounds and echoes of the Second Republic...........more noises of joy and rapturous welcome to the victors........I can not wait to see JK departing in his splashy BMW at the National Stadium and reluctantly bidding us farewell for the last time as a last CCM Tsar.................leaving behind the President elect Dr. Slaa taking over the reins of power after he was just sworn in by none but our retiring Chief Justice............It will be a new dawn and gift to all democracy and peace loving Tanzanians............How I wish my parents were still alive to witness the most tectonic moment of our short political life.................This phenomenon happens once in a lifetime........Oh! Thank You the Almighty God for delivering the slain heads of the vanquished JK and his henchmen to us. I never doubted your omnipotency.......Oh! He who lives forever and ever..........who I am but your obedient servant?
 
Mi pia nasikia sauti za shangwe, wengi wao wakitoa machozi ya furaha, OOOOYEEEE Peoples power wakisema, na wengine wakiulizana hii imekuwaje, wengine wakimshuru mola, na wengine wakimbilia misikitini na makanisani kumshukuru Mungu. Wengine wakisema Alham dulilah, na wengine Yesu mwema. Wote hawa wakisikiliza matokeo ya Uraisi ambapo Dr. Slaa ametangazwa mshindi.
 
Vitisho havisaidii kitu, kinachotakiwa ni kurekebisha namna ya kuitawala nchi, hata wakiyatisha magazeti hawawezi kutisha fikra za wananchi.

Hata wakitisha magazeti na wanaharakati, what about blogs zinazoibuka kila leo?
 
Back
Top Bottom