Elections 2010 Viti vya Udiwani: Vijana Wachacharika

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Tunafuatilia zaidi matokeo ya ubunge na urais lakini kwenye viti vya udiwani vijana wamefanya kweli tofauti na ilivyokuwa chaguzi za nyuma ambapo wagombea walikuwa wazee waliostaafu. Mpaka vijana wa vijiweni wamefanya kweli kwenye viti vya udiwani.
 
Back
Top Bottom