Viti maalumu vya hili chadema 32 ??

Muchunguzi35

Member
Nov 4, 2010
8
0
Bunge lilokwisha CCM ilikuwa na idadi ya viti 80.Je kwa bunge lijalo watakuwa na viti vingapi kutokana na JK kupolomoka asilimia ya ushindi kutoka 84%- 61% Je cccm imekula kwao au ????
 
viti maalum vinatokana na uwingi vya viti vya kuchaguliwa, si kura za urais. Kura za uraisi zinatumika ku-determine kiwango cha ruzuku, kwa maana hiyo ruzuku ya ccm itapungua kutokana na kupungua kwa kiwango chao cha kura za urais
 
Bunge lilokwisha CCM ilikuwa na idadi ya viti 80.Je kwa bunge lijalo watakuwa na viti vingapi kutokana na JK kupolomoka asilimia ya ushindi kutoka 84%- 61% Je cccm imekula kwao au ????

wabunge viti maalum ccm 60
chadema 19
cuf 17
nccr 4
hatahivyo mabingwa wa kununa na kupinga wamekataa viti maalum hivyo vitarudi ccm eti wanadai wao hawataki shangingi wasilolitolea jasho jimboni
hahaha!
 
wabunge viti maalum ccm 60
chadema 19
cuf 17
nccr 4
hatahivyo mabingwa wa kununa na kupinga wamekataa viti maalum hivyo vitarudi ccm eti wanadai wao hawataki shangingi wasilolitolea jasho jimboni
hahaha!
Eleza ulivyopata hesabu zako acha porojo hapa sio kijiwe cha porojo. Tunahitaji kujua jinsi ulivyo kokotoa.
 
Hesabu rahisi kama mwanzo alikuwa na viti 6 kwa wabunge wa 5.Sasa fanya multiplication
5==6
22== ?
 
Hivi ni kweli hapa JF wote ni tupo mavuvuzela kiasi cha kuwa hakuna hata mmoja anayejua utaratibu wa viti maalumu ukoje, basi tumuulize Makamba atufafanulie acha NEC. Inasikitisha atokee mtu atukomboe.
 
wabunge viti maalum ccm 60
chadema 19
cuf 17
nccr 4
hatahivyo mabingwa wa kununa na kupinga wamekataa viti maalum hivyo vitarudi ccm eti wanadai wao hawataki shangingi wasilolitolea jasho jimboni
hahaha!

JF kuna wavivu wa namba wengi kweli kweli. Viti maalum vinatakiwa around 72 jumla, sasa wewe na viti vyako 100 unavitoa wapi?

Hakuna anaeyjua kwa sasa kila chama kimepata kura ngapi kwenye ubunge mpaka NEC watuambie. Ila usitegemee CHADEMA zaidi ya viti 20 na usitegemee CCM zaidi ya viti 50.
 
viti maalum ni 100 jumla na sio 72 mkulima.
 
<p>
JF kuna wavivu wa namba wengi kweli kweli. Viti maalum vinatakiwa around 72 jumla, sasa wewe na viti vyako 100 unavitoa wapi?</p>
<p>&nbsp;</p>
<p>Hakuna anaeyjua kwa sasa kila chama kimepata kura ngapi kwenye ubunge mpaka NEC watuambie. Ila usitegemee CHADEMA zaidi ya viti 20 na usitegemee CCM zaidi ya viti 50

Viti maalun ni 105 which is 40% ya wabunge wote.
 
Back
Top Bottom