Muchunguzi35
Member
- Nov 4, 2010
- 8
- 0
Bunge lilokwisha CCM ilikuwa na idadi ya viti 80.Je kwa bunge lijalo watakuwa na viti vingapi kutokana na JK kupolomoka asilimia ya ushindi kutoka 84%- 61% Je cccm imekula kwao au ????
Bunge lilokwisha CCM ilikuwa na idadi ya viti 80.Je kwa bunge lijalo watakuwa na viti vingapi kutokana na JK kupolomoka asilimia ya ushindi kutoka 84%- 61% Je cccm imekula kwao au ????
Eleza ulivyopata hesabu zako acha porojo hapa sio kijiwe cha porojo. Tunahitaji kujua jinsi ulivyo kokotoa.wabunge viti maalum ccm 60
chadema 19
cuf 17
nccr 4
hatahivyo mabingwa wa kununa na kupinga wamekataa viti maalum hivyo vitarudi ccm eti wanadai wao hawataki shangingi wasilolitolea jasho jimboni
hahaha!
Hesabu rahisi kama mwanzo alikuwa na viti 6 kwa wabunge wa 5.Sasa fanya multiplication
5==6
22== ?
Wewe acha hizo ,CHADEMA sasa wana viti 24 majimboni!!
wabunge viti maalum ccm 60
chadema 19
cuf 17
nccr 4
hatahivyo mabingwa wa kununa na kupinga wamekataa viti maalum hivyo vitarudi ccm eti wanadai wao hawataki shangingi wasilolitolea jasho jimboni
hahaha!
Eleza ulivyopata hesabu zako acha porojo hapa sio kijiwe cha porojo. Tunahitaji kujua jinsi ulivyo kokotoa.
viti maalum ni 100 jumla na sio 72 mkulima.JF kuna wavivu wa namba wengi kweli kweli. Viti maalum vinatakiwa around 72 jumla, sasa wewe na viti vyako 100 unavitoa wapi?
Hakuna anaeyjua kwa sasa kila chama kimepata kura ngapi kwenye ubunge mpaka NEC watuambie. Ila usitegemee CHADEMA zaidi ya viti 20 na usitegemee CCM zaidi ya viti 50.
Hesabu rahisi kama mwanzo alikuwa na viti 6 kwa wabunge wa 5.Sasa fanya multiplication
5==6
22== ?
JF kuna wavivu wa namba wengi kweli kweli. Viti maalum vinatakiwa around 72 jumla, sasa wewe na viti vyako 100 unavitoa wapi?</p>
<p> </p>
<p>Hakuna anaeyjua kwa sasa kila chama kimepata kura ngapi kwenye ubunge mpaka NEC watuambie. Ila usitegemee CHADEMA zaidi ya viti 20 na usitegemee CCM zaidi ya viti 50
Viti maalun ni 105 which is 40% ya wabunge wote.