Vitengo vya sugardaddies

Kiluuj

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
692
277
1.Kamili(complete/unlimited)
Ananunua na kugharamikia kila kitu na kuandikisha kwa jina lako kama vile nyumba na gari.
Hauko peke yako hivyo muda wako naye ni mdogo.

2. Asiye kamili(limited)
Hugharamikia kila kitu ila kwa jina lake mwenyewe.
Huenda akataka umzalie mtoto.
Huja usiku na kuondoka alfajiri na mapema.

3. Mahususi(particular)
Huyu ni wa siku au hafla fulani.
Rafiki tu wa fb, twitter, instagram mwenye laki moja ya kutumia.
Mara nyingi wana misuli na vifua vikubwa.
Ni wazuri kitandani.

4. Mini.
Huwasiliana mwisho wa mwezi pekee.
Muda mwingine hutumia na mkewe.

5. Industrial
Huchangia ujuzi haja zingine za kimwili tu.
Hanunui na akinunua, utalipia!

6. Silent.
Hawa hula na macho tu!
 
Back
Top Bottom