Vitasa vya Azam Tv: Kuna maneno ya kukufurisha mule, tuwe makini

Narikiri wa wacheza wunshu was China ndo maneno yao hayo..maana ata Yule jamaa was mwisho kwenye vitasa anacheza kata za wunshu.....ni sawa na kwenye karate....kusema...maksu..maksu amen....hivo we fata burudani...Ayo mengine achana nayo
 
mwenye elimu ya kidato cha nne japo ni mwalimu wa shule ya msingi pia maarufu kama "fom foo felia". Ni Mwislamu ninayependa kufuatilia sana dini
Ndio maana ni bogus!
Na uliyoyaandika ni ya ki-bogus sijui watoto unawafundisha u bogus gani
 
Nadiclare interest kwanza.

Mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa mwenye elimu ya kidato cha nne japo ni mwalimu wa shule ya msingi pia maarufu kama "fom foo felia". Ni Mwislamu ninayependa kufuatilia sana dini

Niingie kwenye mada sasa.
Kuna vipindi vingi kwenye television na radio mbalimbali ambavyo vimekuwa vikipendwa sana na watu. Kupendwa huko kunatokana na sababu mbalimbali ikiwemo matangazo, maudhui ya kipindi uendeshaji wake warusha matangazo wenyewe kaulimbiu pamoja na maneno maneno yanayochomekezwa humo.

Sasa pamoja na kupendwa kote huko ila kuna baadhi ya vitu vinajitokeza kwenye vipindi hivyo ambavyo ni kinyume na maadili ya Kitanzania. Ukiangalia Azam utakutana na vimaneno vya ajabu ajabu tu kwenye matangazo ya (kipindi cha) Vitasa ambapo yawezekana vingine usijue maana yake.

Kwa kufupisha tu ni kwamba pamoja watu kupenda ngumi kama mchezo wa burudani ila ukiangalia vitasa vya azam utaona kwenye matangazo yao wamechomekeza vimaneno maneno na mbwembwe nyingi halafu mwisho kabisa wa tangazo kuna msela anasema "amituofo"

Sasa neno hilo (japo yawezekana nimekosea kuliandika) ukilifuatilia utakuta linatumika kutukuza mungu wa Kibudha. Kwa faida ya wale wasiojua ni kwamba kuna dini ya kibuda imeenea sana China na India ambayo wanaabudiwa masanamu ya watu wanaoaminika kufikia level fulani ambayo ukifikia hapo unakuwa sawa na mungu na ndipo utaitwa budha. Yaani kuna Mabudha wengi ambao huabudiwa na kuaminika au kuitwa sawa tu na mungu mfano kuna god of infinite, god of light nk.

Sasa unaporusha rusha mateke kisha ukataja neno hilo tunashindwa kuelewa uhusiano wa mangumi na neno ambalo ni la kiibada kwa upande wa watu wa China. Yaani ni sawa na mtu aruke ruke hapo halafu aseme allahu akbar au tumsifu yesu kristo au haleluya; sawa hatutashangaa lakini si ni pale ambapo yupo ndani kwake anafanya mazoezi binafsi!!! Sasa pale ni tangazo je kuna maana gani?

Nawaasa watu wawe makini na hizi burudani kwani kumekuwa na tabia ya kuingizia vimaneno maneno vingi ambavyo siyo vya kawaida (Kiswahili kigumu) na hata vya kigeni (lugha za kigeni) ilimradi tu kupotosha watu. Pia Mambo mengi yanayopingwa katika jamii yanahalalishwa kwa mbinu ya mlangonyuma Fuatilia muziki muvi na hivyo vipindi utaelewa tu nisemacho.

Mfano mmoja tu kipindi cha shilawadu kilikuwa ni maalumu kwajili ya kuhalalisha umbea na kusengenya, jambo ambalo hakuna jamii ya kitanzania inayolikubali

Kwa upande wa muziki angalia wimbo unaitwa "watakubali" angalia namna mbosso anavyowaaminisha watu kuwa kukaba ni jambo la kawaida na kuhalalisha kabisa ukabaji kuwa kazi kama kazi nyingine.

Kwenye muvi ndo hata hakuelezeki yaani yaleyale ya Hollywood, Bollywood na Nollywood ndo yamehamia Bongo.
Ya Shilawadu hakuna jamii ya kitanzania inayapenda! Haukuwahi kumsikia mkuu akiwasifu! Inawezekana ilikuwa bado haujazaliwa, futa kauli hiyo kwani haina afya kwa mkuu.
 
Ndio maana ni bogus!
Na uliyoyaandika ni ya ki-bogus sijui watoto unawafundisha u bogus gani
Unaponioneshea kidole kimoja kunishutumu tambua vidole vyako vitatu vinakurudia kukuonesha na kukushutumu wewe mwenyewe!
 
Wewe unaweza 'kusikiliza' tv moja tu daima?
Kaka kama kweli umeamua kusimama kwenye dini basi zima tv yako itie uvunguni, kinyume cha hapo hutopata tv yenye maadili uyatakayo hata hiyo inayotajwa kuwa ni ya dini bado ni shiiida.
Kumbuka kuna maneno ya mtume wa Allah anasema, "Itafika wakati kushika dini ni sawa na kushika kaa la moto".
 
Nadiclare interest kwanza.

Mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa mwenye elimu ya kidato cha nne japo ni mwalimu wa shule ya msingi pia maarufu kama "fom foo felia". Ni Mwislamu ninayependa kufuatilia sana dini

Niingie kwenye mada sasa.
Kuna vipindi vingi kwenye television na radio mbalimbali ambavyo vimekuwa vikipendwa sana na watu. Kupendwa huko kunatokana na sababu mbalimbali ikiwemo matangazo, maudhui ya kipindi uendeshaji wake warusha matangazo wenyewe kaulimbiu pamoja na maneno maneno yanayochomekezwa humo.

Sasa pamoja na kupendwa kote huko ila kuna baadhi ya vitu vinajitokeza kwenye vipindi hivyo ambavyo ni kinyume na maadili ya Kitanzania. Ukiangalia Azam utakutana na vimaneno vya ajabu ajabu tu kwenye matangazo ya (kipindi cha) Vitasa ambapo yawezekana vingine usijue maana yake.

Kwa kufupisha tu ni kwamba pamoja watu kupenda ngumi kama mchezo wa burudani ila ukiangalia vitasa vya azam utaona kwenye matangazo yao wamechomekeza vimaneno maneno na mbwembwe nyingi halafu mwisho kabisa wa tangazo kuna msela anasema "amituofo"

Sasa neno hilo (japo yawezekana nimekosea kuliandika) ukilifuatilia utakuta linatumika kutukuza mungu wa Kibudha. Kwa faida ya wale wasiojua ni kwamba kuna dini ya kibuda imeenea sana China na India ambayo wanaabudiwa masanamu ya watu wanaoaminika kufikia level fulani ambayo ukifikia hapo unakuwa sawa na mungu na ndipo utaitwa budha. Yaani kuna Mabudha wengi ambao huabudiwa na kuaminika au kuitwa sawa tu na mungu mfano kuna god of infinite, god of light nk.

Sasa unaporusha rusha mateke kisha ukataja neno hilo tunashindwa kuelewa uhusiano wa mangumi na neno ambalo ni la kiibada kwa upande wa watu wa China. Yaani ni sawa na mtu aruke ruke hapo halafu aseme allahu akbar au tumsifu yesu kristo au haleluya; sawa hatutashangaa lakini si ni pale ambapo yupo ndani kwake anafanya mazoezi binafsi!!! Sasa pale ni tangazo je kuna maana gani?

Nawaasa watu wawe makini na hizi burudani kwani kumekuwa na tabia ya kuingizia vimaneno maneno vingi ambavyo siyo vya kawaida (Kiswahili kigumu) na hata vya kigeni (lugha za kigeni) ilimradi tu kupotosha watu. Pia Mambo mengi yanayopingwa katika jamii yanahalalishwa kwa mbinu ya mlangonyuma Fuatilia muziki muvi na hivyo vipindi utaelewa tu nisemacho.

Mfano mmoja tu kipindi cha shilawadu kilikuwa ni maalumu kwajili ya kuhalalisha umbea na kusengenya, jambo ambalo hakuna jamii ya kitanzania inayolikubali

Kwa upande wa muziki angalia wimbo unaitwa "watakubali" angalia namna mbosso anavyowaaminisha watu kuwa kukaba ni jambo la kawaida na kuhalalisha kabisa ukabaji kuwa kazi kama kazi nyingine.

Kwenye muvi ndo hata hakuelezeki yaani yaleyale ya Hollywood, Bollywood na Nollywood ndo yamehamia Bongo.
Extreemist
 
Leo Azam kesho utahamia
Star Media badae
Zuku muda si muda
Star Times.
Ila ukweli ile ni dini ya watu iheshimu kama wanavyoheshimu yako Tz sasa wapo wabudha wa kutosha so utakereka sana.
Chukulia maisha easy sana huwezi control kila kitu mkuu
 
Back
Top Bottom