Vitambulisho vya Wamachinga ni kodi mpya ya kichwa

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,601
2,000
Nilikuwa mkoani Songwe, nilikamatwa na Polisi na mgambo ambao wanapita nyumba kwa nyumba wakikagua na kukamata watu wasio na vitambulisho vya Wamachinga.
Kilicho nistaajabisha, je ni halali kodi za biashara kuzidai majumbani?
Askari walinichukua hadi kituoni nilipowaambia Mimi ni mfanyabiashara lakini sina kadi ya wamachinga.
Baadae niliagiza MTU aliyeko ofisini kwangu DSM anitumie Tin, leseni ya biashara, vibali vya TFDA etc ndio nikaachiwa.
Je ni halali kukagua leseni za biashara majumbani?
 
kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,043

Wengi wa watanzania bado wamelala kiakili.
Wao wamekaa ni kusifia tu kila kitu.
Mbona 20,000 ndogo!
Acha tuijenge nchi yetu punguzeni kulialia bwana. Kati ya miaka 10 ndio kwanza 4.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Englishlady

JF-Expert Member
Apr 11, 2013
2,021
2,000
Nilikuwa mkoani Songwe, nilikamatwa na Polisi na mgambo ambao wanapita nyumba kwa nyumba wakikagua na kukamata watu wasio na vitambulisho vya Wamachinga.
Kilicho nistaajabisha, je ni halali kodi za biashara kuzidai majumbani?
Askari walinichukua hadi kituoni nilipowaambia Mimi ni mfanyabiashara lakini sina kadi ya wamachinga.
Baadae niliagiza MTU aliyeko ofisini kwangu DSM anitumie Tin, leseni ya biashara, vibali vya TFDA etc ndio nikaachiwa.
Je ni halali kukagua leseni za biashara majumbani?
Si halali!!!

Wamekukagua kwa biashara unayofanya dar?? Maana umeagiza vibali vyako toka dar....Kama ndio hivyo wamekuonea Sana Sana.

Wanatakiwa kukagua kwenye biashara Tena mahali husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Estone

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
453
500
Kule Ulanga hivyo vitambulisho lazima ukikamatwa huna kitambulisho faini 50000 au kifungo au vyote kwa pamoja.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom