Vitambulisho vya taifa

sokwe

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
2,022
1,059
Wakati taifa letu likiendelea na utoaji wa vitambulisho vya taifa, kwann hakuna utaratibu wa watanzania waishio nje kupatiwa vitambulisho hivyo ktk ofisi za balozi za tanzania ktk nchi hizo? Maana nimeongea na ubalozi wetu hapa Tokyo wanasema inabidi kwenda nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa kujaza fomu za maombi!!
 
Mkuu utoke tokyo uje mpaka singida vijijini kwa mwenyekiti wako wa mtaa daah hii kali sasa .but wangeweka utaratibu flani wa kiurahisi zaidi.
 
Nimechoka kabisa mkuu, hata sielewi! Nafikiri hata wakati wa uchaguzi wataniambia nirudi bongo kupiga kura, khaa.
 
Back
Top Bottom