Vitambulisho vya taifa, vipo havipo? Kwa anaefahamu anijuze!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Japo sina uhakika kama mm ni raia wa tanzania, tanzania bara ama tanganyika! ila nauliza kale project ka kutengeneza vitambulisho vya taifa ndo imefikia wapi hadi leo? kuna kipindi nilisikia wanapewa kwanza wafanyakazi wa serikalini lakini hadi sasa bado hawajapewa ili na sisi tulio kwenye sekta binafsi tupewe! Au imesitishwa baada ya mchakato wa kuandika katiba mpya kuonyesha kila dalili ya kufufuliwa kwa taifa la Tanganyika?

plz naomba kujuzwa!
 
Watu wanapiga dili la mihela hapo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi huu mradi ni kwa Dsm tu au vp,manake sijaona dalili za watanganyika wengine ambao wapo mikoani kwamba huu mradi utawafikia,
 
Naomba ukirudishe, maana soon hakutakuwa na Tanzania. Tutakuwa na Tanganyika Yetu chini ya CDM na Liberal Republic of Zanzibar chini ya CUF

Kitambulisho chako ni batili

Watanzania kwa maneno!!! Hata kama Tanzaniaa haitakuwepo bado data zote zimehifadhiwa, hivyo utapewa vingine vyenye jina la nchi kwa wakati huo.
 
Vipo jamani,mimi ni mfanyakazi wa serikali,na nimeishapata hicho kitambulisho cha taifa toka mwezi uliopita.Inahitaji umakini sana na kwa kweli ubora wa kitambulisho hicho ni mkubwa sana,jamaa wanahitaji pongezi,wamefanya kazi nzuri sana!
 
Hizi Id nilisikiwa wanaanza(sample) kwa Dar kwanza after hapo sjajua wameishia wapi lkn kuna baadhi ya watu tayar viko
kwa wallets zao nimeshashuhudia kwa huku mikoan nimeshawah kukiona kwa mtu!!!!

ukitaka jibu sahih muulize Maguli
atakuambia Kandarasi hayupo site na Engneer hajapewa hela yake!!
 
Japo sina uhakika kama mm ni raia wa tanzania, tanzania bara ama tanganyika! ila nauliza kale project ka kutengeneza vitambulisho vya taifa ndo imefikia wapi hadi leo? kuna kipindi nilisikia wanapewa kwanza wafanyakazi wa serikalini lakini hadi sasa bado hawajapewa ili na sisi tulio kwenye sekta binafsi tupewe! Au imesitishwa baada ya mchakato wa kuandika katiba mpya kuonyesha kila dalili ya kufufuliwa kwa taifa la Tanganyika?

plz naomba kujuzwa!

Nina miezi mawili toka nimepewa kitambulisho changu.
 
Hivi vitambulisho magumashi mie nilijaza fomu December 2011 nikapiga picha na ku-update taarifa zangu mfano marital status march 2013 na vitambulisho vikatoka April 2013 nikaenda kuchukua then wakaniambia tena kuna details wamekosea niandike namba ya simu wataniita wakikamilisha ila mpaka leo sioni kinachoendelea ule ni mradi tu watu wanapiga pesa.
 
mi nnacho ila kinashangaza kina expire 2023 yaani kinadumu kwa miaka kumi tu
 
Back
Top Bottom