Japo sina uhakika kama mm ni raia wa tanzania, tanzania bara ama tanganyika! ila nauliza kale project ka kutengeneza vitambulisho vya taifa ndo imefikia wapi hadi leo? kuna kipindi nilisikia wanapewa kwanza wafanyakazi wa serikalini lakini hadi sasa bado hawajapewa ili na sisi tulio kwenye sekta binafsi tupewe! Au imesitishwa baada ya mchakato wa kuandika katiba mpya kuonyesha kila dalili ya kufufuliwa kwa taifa la Tanganyika?
plz naomba kujuzwa!
plz naomba kujuzwa!