Vitambulisho vya taifa, vipo havipo? Kwa anaefahamu anijuze!

mi nnacho ila kinashangaza kina expire 2023 yaani kinadumu kwa miaka kumi tu

Baada ya muda huo utahitajika ku update taarifa zako kutokana na mabadiliko ya makazi, shughuli unayofanya, hata mwonekano wako. haimaanishi kwamba uraia wako ndio utakoma.
 
Back
Top Bottom