Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Leo ninapenda kuuliza hivi:
Vitambulisho vya Rais Magufuli kwa wajasiriamali viwezeshwe ku-cover mpaka N.H.I.F Community Health Fund. Itaongeza ushawishi zaidi.
Idea yangu ni kwamba, mjasiriamali mdogo anapolipia pesa ya kitambulisho 20,000/= anakuwa anaweza pia kutumia kitambulisho hicho katika kupata matibabu kwenye zahanati iliyopo ndani ya locality yake kwa muda wa mwaka mzima pasipo kuhitajika kulipa tena 5,000/= gharama ya CHF.
Kuongeza benefit hii inaweza kuwashawishi wajasiriamali wengi kujitokeza na kuchukua vitambulisho hivi kwa wingi sana.
Hili ni wazo langu tu and I STAND TO BE CORRECTED.
OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
VODACOM WAMECHUKUA WAZO LANGU

Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellect
Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellectual endeavor. ORIGINAL THREAD HII HAPA NILIIANDIKA OCTOBER 21 MWAKA 2018. Screenshot hapo juu ni user interface ya Vodacom M-pesa. Shikamooni...
www.jamiiforums.com