Vitambulisho vya NIDA vimeishia wapi?

singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
5,306
6,883
Baada ya sakata la NIDA watu kutimuliwa, kesi kibao za hela kuliwa na watu kuajiriwa bila vigezo. Akateuliwa mkurugenzi mwingine na tukahakikishiwa itaboreshwa na watu watapata vitambulisho kwa wakati.
Sasa swali ni baada ya hayo yote ndio habari ya vitambulisho ikaishia hapo, sijasikia kesi yoyote ikiendelea, raia hatujapata vitambulisho hadi sasa lakini tunaambiwa NIDA wamenyooshwa.
Je ilikuwa ni mwendelezo wa kiki au? Mbona kila jambo linaishia nusu nusu tunarukia jambo jingine?
Nataka kitambulisho changu.
 
saiv wanaandikisha iringa mjini mkuu,tulia utapata kitambulisho chako..
 
Kwahiyo ni mpaka mwaka gani maana sioni tofauti kwenye kasi yao
 
watumishi wanahakikiwa tena na vitambulisho vya NIDA na huku wengne hawajapata!

TANZANIA,beautfully country but some people wana destroy!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom