Baada ya sakata la NIDA watu kutimuliwa, kesi kibao za hela kuliwa na watu kuajiriwa bila vigezo. Akateuliwa mkurugenzi mwingine na tukahakikishiwa itaboreshwa na watu watapata vitambulisho kwa wakati.
Sasa swali ni baada ya hayo yote ndio habari ya vitambulisho ikaishia hapo, sijasikia kesi yoyote ikiendelea, raia hatujapata vitambulisho hadi sasa lakini tunaambiwa NIDA wamenyooshwa.
Je ilikuwa ni mwendelezo wa kiki au? Mbona kila jambo linaishia nusu nusu tunarukia jambo jingine?
Nataka kitambulisho changu.