Vitambulisho visivyo na picha vyahalalishwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitambulisho visivyo na picha vyahalalishwa!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Omulangi, Oct 31, 2010.

 1. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wasimamizi wasaidizi katika vituo wamepata barua katika jimbo la Bukoba Vijijini kuwa kama mtu akija na kitambulisho ambacho hakina picha aruhusiwe kupiga picha.

  Mwanzo katika mafunzo waliambiwa lazima mtu atambuliwe kwa kumlinganisha na picha yake, lakini jana ndiyo ime change.
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ndo mwanzo wa uchakachuaji wa matokeo
   
 3. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili linahitajika lifuatiliwe. Kama mawakala wa vyama vingine wapo, itabidi wao wacheck.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Vilipatikanaje vitambulisho visivyo napicha in the first place?
  Lakini kama kwenye daftari kuu la kituo kuna picha...nadhani si mbaya wakipiga!
   
 5. j

  jrnedy Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwanini taratibu zinabadilika dakika za mwisho! Nadhani mawakala wana haki ya kukataa haya mabadiliko, viongozi wa upinzani mnaongeleaje hili?
   
Loading...