LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,319
- 6,675
Wakuu,
Samahani naomba kuuliza,
Hivi kila nyumba unayoingia hapa Bongo kwenye viti au masofa unakuta kumewekwa vitambaa, hivi huwaga ni urembo au vina maana nyingine?
Maana binafsi huwa nachefukwa,ila nimeona sio mbaya nikapata ujuzi kutoka kwa wadau hapa labda kuna kitu mnakijua zaidi kuhusu hili jambo.