The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 562
Wakuu salaam,
Nimekuwa nikimfatilia sana the Bold na hivyo nikajikuta nikipenda kufuatilia intelijensia.
Binafsi mimi ni msomaji wa vitabu lakini visivyo vya hadithi za kutungwa(non fiction) japo nimekuwa nikisoma vitabu vyenye mlengo tofauti na intelijensia.
Hivyo naomba wataalamu na wasomaji wa mambo yanayohusu ujasusi na intelijensia wapendekeze na kuorodhesha vitabu bora kabisa kuhusu ujasusi na intelijensia kwa manufaa ya wate ambao tungependa kufuatilia maswala ya ujasusi.
Shukrani