Vitabu vya Nyangine vichomwe moto popote vilipo

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
kama u nakitabu cha huyu mtu, hakina sif ya kusomwa na mwanfunzi anaehitaji msaad wa kitaaluma,

napendekeza kuchomwa moto na kutupwa mbali watoto wasitumie vitabu kwani imetosha sasa, tangu wataalamu vipofu walipokuwa madarakani waliporuhusu viingie ktk soko.

Hii inafanana sana na baadhi ya huduma za jamii inafaa zifute kwa mfano benki ya The blue, au byport hizi sio taasisi kwani vikumdi vya wezi tu.

Ninashaur zaidi kwamba wataalamu wachunguze sana na sio kusubri kamati za bunge
 
Toa hoja ya msingi watanzania na viongozi wenye dhamana ya kuvifuta wakuelewe,.Umeanza kulalamika na pia Umetoa hitimisho la kufutwa lakini hujatoa hoja moja ya msingi ya kufutwa vitabu hivyo.Ndugu jifunze namna ya kutoa hoja vinginevyo utaishia kulalamika tu bila kusikilizwa,wakati hali kuna ukweli ndani yake lakini umeshindwa kuueleza ili watu wakuelewe na ikiwezekana waku'support'..Kwa kauli yako hiyo unaonekana mnafiki mwenye hila mbaya wakati kumbe yawezekana kuna kitu cha msingi tu kwenye hilo suala.

Kuna issue aliitoa Mh.Mbatia kuhusu serikali kununua vitabu visivyo na ubora na alitoa mifano (pesa ni ile change iliyobaki ya R...)
 
ukiwa kama mchangiaji wa kwanza wewe umejawa na hila, Kipi hukielewi katika hoja yangu fupi, Kwa mawazo yangu hii hoja haihitaji maneno mengi kwa kuwa hata waliosoma vitabu vyenyewe wenye mantiki wanajua udhaifu wa kitabu cha huyu jamaa, sina hila kwa hili nina imani na wapinga makanjanja katiaka taaluma ya uandishi, ninauwezo wa kutosha kueleza lolote lile lieleweke, na katika hili halina haja ya maneno mengi. Moja

Pili, Nchi Haitajengwa na wadhalimu, mababarian, mafisadi, wala watu dhaifu, itajengwa na na watu wachahce sana kama aliyokuwa mwalimu na wachache wenye uelewa, uwezo, mawazo na mbinu imbara, Naamini kwamba mwenye imani ya mungu na kuwepo maisha baada ya haya hawezi kaa kimya akiona mambo ya kipuuzi kama yako na watu wengine wasio wepesi kusahihisha, unapaswa usahihishe, JF ni kama shule,chuo,taasisi, ukumbi na zaidi hayo.

Humu kuna watu makini sana pamoja na kwamba ni ananymous, siku zote akichangia katika uzi wako unajisikia vizuri, wewe UTASHI ni mgeni sana, sijui hata unasiku ngapi hapa, hoja hazisadii sana kama hekima huna.

Kuna watoto.vijana, watu wazima, viongozi wakuu, wanadini nk wanasoma jf Unapaswa uwe mwelewa sana.

vitabu na zaidi ya hivyo havihitaji chenchi vinunuliwe au iibwe kwa sio chenchi. Ukweli unabaki kuwa ukweli na ulongo ni uwongo. Nyangwine inawezekana ni mtunzi mzuri lkn sio ktk dhamana kubwa ya vitu vinavyosomwa na watoto ambao wanahitaji kujengwa ubongo wao nk katika stage mbalimbali. Huo ni mfano mdogo sana katika vitabu vya mh nyangwine.
 
hakuna hoja uliyojenga kuhusu dhana ya kuvichoma moto.
NAHISI HUJAFANYA UTAFITI WOWOTE ILA UMESUKUMWA NA HISIA NA PENGINE HUJAWAHI KUVITUMIA VITABU HIVYO.
ni mpumbavu pekee anaeweza kupendekeza kuchomwa moto kwa vitabu vya MATHS vya Wakamoga fm1 to fm4(nyangwine products)
Vilevile ni mjinga pekee anaeweza kupendeza kuendelea kutumia vitabu vya serikali MATHS fm1 to fm4(sylabus ya 2005).
VITABU VYA WAKAMOGA NI VITABU BORA KABISA LAKINI MPAKA LEO HAVIJAPEWA CHETI NA EMAC.
vitabu vya maths vya serikali ni vibovu kupindukia na vilishapewa certificate.
Mf.anebisha achukue fm2 maths book sylabus ya 2005 akafungue na kupitia topic moja tu ya logarithm,NI AIBU KWA WATUNGAJI,KWA EMAC,SERIKALI NA WOTE WANAOVITUMIA.
oxford hivi karibuni wametoa vitabu vingi visivyokidhi ubora na waliweza kuwahonga EMAC na kupewa certificate kwa kila kitabu walichotoa na serikali waliwafungia oxford miaka 5 lakini wakiacha vitabu vikiendelea kuuzwa na kutumika toka mwaka jana.
VITABU VIBOVU VIDHIBITIWE IKIWEMO VYA SERIKALI
 
Mtoa mada inawezekana unahaki kabisa ya kuandika hivyo kwa mtazamo na ujuzi ulionao juu ya vitabu hivyo ila bandiko lako halieleweki na inaonekana ni bifu lilipo kati yako na Nyangwine na si vinginevyo. Nakushauri uweke bandiko lenye sababu siyo conclution bila sababu.
Mimi binafsi nimevitumia sana vitabu hivyo, nilichogundua mle jamaa anatoa hints kumfanya mtu anaposoma vitabu vingine aweze kuelewa haraka.
Kwa kizazi chetu cha watu wavivu wa kusoma naweza sema havikidhi matakwa yote ya mwanafunzi na jamaa amepata soko kubwa kwa kuwa watoto wa siku hizi wanapenda mteremko na hawataki kuumiza kichwa.
Mwisho niseme tu kwamba si vizuri kurusha matusi humu jf pindi hoja yako inapokuwa imecrashiwa na watu jaribu kuangalia mapungufu yako then songa mbele.
 
kama u nakitabu cha huyu mtu, hakina sif ya kusomwa na mwanfunzi anaehitaji msaad wa kitaaluma,

napendekeza kuchomwa moto na kutupwa mbali watoto wasitumie vitabu kwani imetosha sasa, tangu wataalamu vipofu walipokuwa madarakani waliporuhusu viingie ktk soko.

Hii inafanana sana na baadhi ya huduma za jamii inafaa zifute kwa mfano benki ya The blue, au byport hizi sio taasisi kwani vikumdi vya wezi tu.

Ninashaur zaidi kwamba wataalamu wachunguze sana na sio kusubri kamati za bunge

mi naona hata huu uzi hauna hadhi ya kusomwa na great thinkers
 
Nyangwine alisoma siku za nyuma kidogo, Nadhani waliosoma vitabu vya siku za nyuma kidogo wakija naweza kucheza nao hii disco. Hpa ni sawa na kucheza disco la wamasai.

Mh. Nyangwine sina bifu nae, Hata kidogo, Lakini kwa kuwa hiki ni kizazi cha Nyangwine na vitabu mbalimbali vibovu vilivyopitishwa na EMAC hapa mtabisha sana. Mkitaka hoja. Tayari ukiwa umeathirika ubongo huwezi ukaelewa labda kati enu mwenye tabia ya kuzama Library akasoma vitabu japo vya story za watunzi mbalimbali ubongo wake kidogo au hata zaidi ukawa umepona.

Hili disco nacheza na mazombi
 
Tunataka hoja za msingi.
nilipata A ya chemistry fm2 kwa vitabu vya nyangwine,nikapata B ya chemistry necta fm4,kwa vitabu vya nyangwine.KIFUPI MUUNDO WAKE UMESAIDIA SANA KUOKOA JAHAZI,elimu yetu ilikuwa content na vitabu vile vingi vilifiti mazingira yale,kwa sasa ni competency na vitabu vingi haviendani na mazingira haya,HATA hivyo wasomi wengi duniani ni CONTENT na wachache sana ndio COMPETENCY.kazi zaidi ya 90% duniani zinafanywa na wasomi wa CONTENT NA asilimia ndogo sana ndo inafanywa na COMPETENCY kama kina Albert Eisten,Isaac Newton,Dr.Fauce wa NIAD.kazi za hawa zinahitaji wadadisi lakini kazi nyingi ni za kuelekezwa na unakalili kama ni ku-operate mtambo,hakuna udadisi kwenye kuendesha gari na unachofanya ni kukalili tu maelekezo.TAFITI ZA KISAYANSI NDIO ZINATAKA COMPETENCY PEOPLE nahawa watu ni wachache sana,na hata wewe mleta hoja ni CONTENT mana hujajenga hoja yoyote ya udadisi wa kwako na zaidi unarukia tu mara mbatia alisema mara hoja inajieleza,HAKUNA SPECIFICATION WALA HOJA YA MAANA HAPA
 
Kizazi hiki Kimeshaahirisha, hakiwezi kikakuelewa:

wakati wetu watunzi wadogowadogo walikuwa namkumbuka mmoja wa usdm alifariki yule mzee

Siku hizi hata ukiongea nao unasumbuka bure mansa
 
umeona hata waandishi wake aliotaja huyo aliepata two, wameshakwisha ona hata huo ufafanuzi wake hapo,

anajua competency na content, hawajui tulikuwatunazalisha ng'ombe shule agriculture, mbeya tech, mosh tech balaa

waache wabishe ni kweli ni kama umeingia choo chao
 
wakati wetu wa abot, nelcon nk ndio vitabu vidogo hivyo kulikuwa na vitabu vwa akina erwin vya uchumi na

kwenye uchambuzi wa vitabu ni balaa

utamkuta anajua kubishana tu kufungua facebook
 
Hata mimi naunga mkono vile vitabu havifai kabisa.Kwa kifupi vile vitabu havimfikirishi mwanafunzi,zaidi ya kukariri majibu.
 
ukiwa kama mchangiaji wa kwanza wewe umejawa na hila, Kipi hukielewi katika hoja yangu fupi, Kwa mawazo yangu hii hoja haihitaji maneno mengi kwa kuwa hata waliosoma vitabu vyenyewe wenye mantiki wanajua udhaifu wa kitabu cha huyu jamaa, sina hila kwa hili nina imani na wapinga makanjanja katiaka taaluma ya uandishi, ninauwezo wa kutosha kueleza lolote lile lieleweke, na katika hili halina haja ya maneno mengi. Moja

Pili, Nchi Haitajengwa na wadhalimu, mababarian, mafisadi, wala watu dhaifu, itajengwa na na watu wachahce sana kama aliyokuwa mwalimu na wachache wenye uelewa, uwezo, mawazo na mbinu imbara, Naamini kwamba mwenye imani ya mungu na kuwepo maisha baada ya haya hawezi kaa kimya akiona mambo ya kipuuzi kama yako na watu wengine wasio wepesi kusahihisha, unapaswa usahihishe, JF ni kama shule,chuo,taasisi, ukumbi na zaidi hayo.

Humu kuna watu makini sana pamoja na kwamba ni ananymous, siku zote akichangia katika uzi wako unajisikia vizuri, wewe UTASHI ni mgeni sana, sijui hata unasiku ngapi hapa, hoja hazisadii sana kama hekima huna.

Kuna watoto.vijana, watu wazima, viongozi wakuu, wanadini nk wanasoma jf Unapaswa uwe mwelewa sana.

vitabu na zaidi ya hivyo havihitaji chenchi vinunuliwe au iibwe kwa sio chenchi. Ukweli unabaki kuwa ukweli na ulongo ni uwongo. Nyangwine inawezekana ni mtunzi mzuri lkn sio ktk dhamana kubwa ya vitu vinavyosomwa na watoto ambao wanahitaji kujengwa ubongo wao nk katika stage mbalimbali. Huo ni mfano mdogo sana katika vitabu vya mh nyangwine.

Mansakankanmusa,Mimi ni mtu makini na nina busara na hekima zangu,Na ni kweli kua mimi ni mgeni jamiiforums,lakini ugeni wangu wa kuji'register' ktk jamiiforums na sio uwezo ktk kuchangia hoja za maendeleo,kwa hiyo usije ukadhani mtu mgeni basi awekwe nyuma au umbague au kumhadaa na kusema hajui kitu.

Ungekua ni msomaji mzuri wala usingekuja na maneno mengi kwenye ushauri niliotoa kwenye mada uliyoianzisha:Kwani maneno yangu yote hapo lengo lake ni kukujenga/kukukumbusha wewe na vile vile kuwa 'alert' watu wengine watakaosoma na kutoa maoni yao ktk mada yako (Toa hitimisho baada ya kutoa 'strong points' zinazo 'support hitimisho lako).

Mansakankanmusa:,Support kutoka kwa watu huwa inakuja baada ya kutoa hoja za msingi ambazo wanazikubali na sio hitimisho bila vielelezo.Samahani kama nimekukwaza ila mimi naamini hoja yangu ili'base' kwenye kuelimishana tu..
 
Yale yale hakuna mguu wala kichwa, unadhani sisi sote tunajua vitabu nya NYANG'INE?
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni na wewe
achana nao hao

Na wewe je una uhakika ana bifu na nyangwine?

Toa hoja ya msingi watanzania na viongozi wenye dhamana ya kuvifuta wakuelewe,.Umeanza kulalamika na pia Umetoa hitimisho la kufutwa lakini hujatoa hoja moja ya msingi ya kufutwa vitabu hivyo.Ndugu jifunze namna ya kutoa hoja vinginevyo utaishia kulalamika tu bila kusikilizwa,wakati hali kuna ukweli ndani yake lakini umeshindwa kuueleza ili watu wakuelewe na ikiwezekana waku'support'..Kwa kauli yako hiyo unaonekana mnafiki mwenye hila mbaya wakati kumbe yawezekana kuna kitu cha msingi tu kwenye hilo suala.

Kuna issue aliitoa Mh.Mbatia kuhusu serikali kununua vitabu visivyo na ubora na alitoa mifano (pesa ni ile change iliyobaki ya R...)

Mtoa mada inawezekana unahaki kabisa ya kuandika hivyo kwa mtazamo na ujuzi ulionao juu ya vitabu hivyo ila bandiko lako halieleweki na inaonekana ni bifu lilipo kati yako na Nyangwine na si vinginevyo. Nakushauri uweke bandiko lenye sababu siyo conclution bila sababu.
Mimi binafsi nimevitumia sana vitabu hivyo, nilichogundua mle jamaa anatoa hints kumfanya mtu anaposoma vitabu vingine aweze kuelewa haraka.
Kwa kizazi chetu cha watu wavivu wa kusoma naweza sema havikidhi matakwa yote ya mwanafunzi na jamaa amepata soko kubwa kwa kuwa watoto wa siku hizi wanapenda mteremko na hawataki kuumiza kichwa.
Mwisho niseme tu kwamba si vizuri kurusha matusi humu jf pindi hoja yako inapokuwa imecrashiwa na watu jaribu kuangalia mapungufu yako then songa mbele.

acha sifa za kijingaMbona umeweka ya kemia tu na hata kama kweli ulifaulu kwa kuvisoma kwani yeye ndo alikusaidia kujibu mtihani? Acha upopompo

Tunataka hoja za msingi.
nilipata A ya chemistry fm2 kwa vitabu vya nyangwine,nikapata B ya chemistry necta fm4,kwa vitabu vya nyangwine.KIFUPI MUUNDO WAKE UMESAIDIA SANA KUOKOA JAHAZI,elimu yetu ilikuwa content na vitabu vile vingi vilifiti mazingira yale,kwa sasa ni competency na vitabu vingi haviendani na mazingira haya,HATA hivyo wasomi wengi duniani ni CONTENT na wachache sana ndio COMPETENCY.kazi zaidi ya 90% duniani zinafanywa na wasomi wa CONTENT NA asilimia ndogo sana ndo inafanywa na COMPETENCY kama kina Albert Eisten,Isaac Newton,Dr.Fauce wa NIAD.kazi za hawa zinahitaji wadadisi lakini kazi nyingi ni za kuelekezwa na unakalili kama ni ku-operate mtambo,hakuna udadisi kwenye kuendesha gari na unachofanya ni kukalili tu maelekezo.TAFITI ZA KISAYANSI NDIO ZINATAKA COMPETENCY PEOPLE nahawa watu ni wachache sana,na hata wewe mleta hoja ni CONTENT mana hujajenga hoja yoyote ya udadisi wa kwako na zaidi unarukia tu mara mbatia alisema mara hoja inajieleza,HAKUNA SPECIFICATION WALA HOJA YA MAANA HAPA
 
wakati wetu wa abot, nelcon nk ndio vitabu vidogo hivyo kulikuwa na vitabu vwa akina erwin vya uchumi na

kwenye uchambuzi wa vitabu ni balaa

utamkuta anajua kubishana tu kufungua facebook

Umenikumbusha mbali ..

Hivo ndo vitabu bana
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni na wewe
achana nao hao

Na wewe je una uhakika ana bifu na nyangwine?

acha sifa za kijingaMbona umeweka ya kemia tu na hata kama kweli ulifaulu kwa kuvisoma kwani yeye ndo alikusaidia kujibu mtihani? Acha upopompo
No More Drama nakushukuru hawa jamaa wameshathirika na kukaririshwa notice na nyangwine hawajui ninalosema linamanufaa kwao
 
Mansakankanmusa,Mimi ni mtu makini na nina busara na hekima zangu,Na ni kweli kua mimi ni mgeni jamiiforums,lakini ugeni wangu wa kuji'register' ktk jamiiforums na sio uwezo ktk kuchangia hoja za maendeleo,kwa hiyo usije ukadhani mtu mgeni basi awekwe nyuma au umbague au kumhadaa na kusema hajui kitu.

Ungekua ni msomaji mzuri wala usingekuja na maneno mengi kwenye ushauri niliotoa kwenye mada uliyoianzisha:Kwani maneno yangu yote hapo lengo lake ni kukujenga/kukukumbusha wewe na vile vile kuwa 'alert' watu wengine watakaosoma na kutoa maoni yao ktk mada yako (Toa hitimisho baada ya kutoa 'strong points' zinazo 'support hitimisho lako).

Mansakankanmusa:,Support kutoka kwa watu huwa inakuja baada ya kutoa hoja za msingi ambazo wanazikubali na sio hitimisho bila vielelezo.Samahani kama nimekukwaza ila mimi naamini hoja yangu ili'base' kwenye kuelimishana tu..

katka maisha yako haswa ya kujifunza usichanganyikiwe kupata negative arguementation, ukiwa unapata positive tu ujue huna kitu.. ova
 
Hi ndugu mtoa mada.
Kiukweli kabisa vitabu vya NYANGWINE binafsi vimenisaidia sana kufanya mtihani wangu wa form six 2011 maana nimesoma mimi binafsi na matokeo yangu ni mazuri na mwaka huu naenda university.
NAOMBA UTOE SABABU ZA MSINGI HAPO NDO NTAKUELEWA.
 
Kwa wale wote wanaojiita walisoma zamani.
KUSOMA KWENU ZAMANI KUNAJIBU HOJA YA MTOA MADA?
jengeni hoja si porojo.
TAMBUENI KUWA VITABU VYA Nelkon,Lambart,Abort na Vingine vingi nimevitumia pia na nilipotoa mfano wa kemia nilikuwa naweka supporting point,kama unataka matokeo yangu yote wala hayasaidii kujenga hoja japo nilifaulu masomo yote 9.
PIA hivyo vitabu vya nje nimevitumia Advance PURE UNDERSTANDING MATHEMATICS,PURE ONE&TWO,NELKON,CHAND,nk.MSIFIKIRIE SIVIFAHAMU HIVYO VITABU ILA HAO MNAOJIITA WA ZAMANI HAMVIJUI VIZURI VITABU VYA NYANGWINE,nimetoa mfano wa kitabu cha maths cha wakamoga mbona hakuna aliyekuja kudhibitisha hakifai,NI UJINGA kuendelea kupinga kitu huku ukishindwa kuonyesha ubovu wake,UNATAKA TUAMINI BILA USHAHIDI,MATHS vya serikali fm1 to fm4 are the worst books HAKUNA ALIYEPINGA AMA KUONESHA VINAFAA just check 1topic logarithm.
Where is the easthetic of your old books in logical argument?
I can't substentiate your ability to argue from a tabularasa way of argument.
SPLENDID Nyangwine.
 
Back
Top Bottom