Vitabu vya Ndalichako na TIE "vilivyoboreshwa" ni zaidi ya janga! Wabunge kusuka au kunyoa

Hata bendera kwenye hiyo nembo hapo si ya Tanzania
Mkuu weka andiko lote hadharani ili tusikusumbue, hakuna sababu ya kuficha, sasa kila mtu akiku PM utafanya kazi nyingine kweli

Hiyo hapo nime upload nyingine, ila kama hujui hesabu za lower classes usijisumbue ku comment.
 
Attachments

  • TIE WANATISHA 3.png
    TIE WANATISHA 3.png
    43.2 KB · Views: 54
Nembo ya taifa huwa ina bdendera ya nchi gani? je huo mwenge huwa una rings? Hebu tafuta nembo ya taifa halafu linganisha na hiyo. Halafu kwenye bendera pale nyuma ya mtoto anayepiga kengele hiyo bendera katikati huwa kuna rangi gani, ni njano au nyeusi?
nilikua sijala mkuu,sasa hv nimeshiba nimeona
 
Kwa kweli hii serikali ya CCM inaipeleka elimu yetu jehanamu. Ni lini hasa serikali hii itaacha kucheza kamari na maisha ya watu?
 
Nembo ya taifa huwa ina bdendera ya nchi gani? je huo mwenge huwa una rings? Hebu tafuta nembo ya taifa halafu linganisha na hiyo. Halafu kwenye bendera pale nyuma ya mtoto anayepiga kengele hiyo bendera katikati huwa kuna rangi gani, ni njano au nyeusi?
Labda waandaji siyo watanzania
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom