Vitabu vya Mwalimu Nyerere

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Vitabu alivyoandika Mwalimu Nyerere vinatumiwa shuleni? Jibu ni kuwa sijui. Sidhani. Kwa jinsi ninavyojua nchi yangu, sidhani. Utasikia watu wakisema Nyerere Baba wa Taifa lakini ukiwauliza maana yake ni nini hasa midomo inacheza. Watanzania kama taifa bado tunacheza. Sijui ni jambo gani ambalo tunalifanya kwa uhakika na makini. Watu wa maneno meeeeeengi. Tunapenda maneno sana. Tunakwenda kwenye mikutano ya siasa. Wanasiasa wanatuuzia maneno. Tunashangilia kweli na kuwachezea ngoma na kuimba huku tukiungua jua. Wao wako kivulini. Waongo wote. Sio wa upinzani. Sio watawala. Waongo watupu.
 
Wakuu wetu wanapenda SANA kuficha Historia ya TANZANIA. Mimi Nimevisoma, Navipenda SANA. Wenzetu hawapendi Visomwe wala Kuonekana HADHARANI maana Vinaumbua MATENDO yao!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom