Vitabu vya CPA

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,430
1,773
Habari
Naomba kufahamishwa wapi nitapata vitabu vya account kwa jili ya kufanya mitihani ya CPA. Pia kama kuna mtu ana vitabu vya account vilivyo katika soft copy tusaidiane.

Thanks
 
Nenda NBAA bookshop vipo vya kila level ... Ila ukipata vya ACCA pia chukua vina msaada Mkubwa ....
 
Back
Top Bottom