Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

Kua haki sawa mi naona ni njia inayotumika kumnyonya mwanaume.
Ipo wazi kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume. Ila wanaoongoza kwa uzalishaji ni wanaume(kiuchumi)
Mbali na kusoma hivi vitabu pia nimekutana na watu walionizidi umri, kitu wanchosema ni kwamba wanawake wanataka kukaa juu ya mwanaume yaani mwanamke anataka awe yeye ndo kichwa awe na mamlaka kuliko mwanaume wakati sio mzalishaji.
Alafu kitu kingine ni kwamba wanawake wanawazungumzia sana wanaume kuliko sisi tunavyowazungumzia wao.
Kwamba mwanamke akiwa ndo mzalishaji mkuu ktk mahusiano anastahili kuwa ndo mwenyemamlaka ktk familia
 
Kwamba mwanamke akiwa ndo mzalishaji mkuu ktk mahusiano anastahili kuwa ndo mwenyemamlaka ktk familia
Mwanamke akiwa na mamlaka inamana atafanya chochote anachojisiki . We mwenyewe chunguza nyumba ambazo mwanamke ndo ana sauti kuliko mwanaume(labda kama kwenye iyo nyumba hakuna baba)
 
Uwa natamani sana kusoma vitabu, ila kiingereza kwangu ndio shida na nina elimu ya degree
soma, hakitakua shida kadri unavyozidi kusoma, download app inaitwa amazon kindle, kuna wordwise reading ambapo kwa kila neno gumu juu yake wamekufsiria kwa kiingereza rahisi yaani hata kama unajua kiingereza cha maji tu utaelewa
 
Manipulated Man by Esther Vilar

Polygamous by Esther Vilar

The Dating Wizard Secrets to Success with Women.

Kwa walio oa ni vizuri mkajua kwa nini wanawake wanachepuka kwa kusoma The Dating Wizard

Nitagusia baadhi ya maeneo ya ivyo vitabu alafu tutaangalia kama yanayosemwa yana ukweli ndani yake au la!?

BTW mi sio mwandishi mzuri kama kuna sehemu nitakua nimechapia mtanirekebisha.

Attachments

  • PolygamousSex By Esther Vilar.pdf
    332.6 KB · Views: 23
  • The_manipulated_man - By Esther Vilar.pdf
    303 KB · Views: 23
Rolo Tommasi kwenye mfululizo wa kitabu chake cha Rationale Male ame summarize hayo uliyoyasema hapo juu kama ni " Shitty Test".

Shitty test ni jaribio la mwanamke kutaka kujua jambo au msimamo wako kwynye jambo fulani.

Hapo juu mwanamke anampima mwanaume if a man is available exclusive to her. Na sio kwa mwanamke mwingine.

Kitendo cha jamaa kumpa ruhusa ya kuondoka pasi na kuanza kumbembeleza kimemuonyesha mwanamke kuwa yuko replacable.

Wewe sasa umeiva...

Kuna mwamba anaitwa david deangelo anakitabu kinaitwa double your date kama sijakosea.

Nae yupo nondo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom