Vitabu vitabu vya ujasiriamali wa Kilimo cha mboga mboga,ufugaji na matunda

Nahitaji cha ufugaji kuku na mboga zote ikiwa ni pamoja na nyanya, biringanya, bamia, hoho n.k. Niletee namba yako ya Tigo au Voda. Nitakueleza pa kuvileta au nivipitie kama haupo mbali na mimi.

Namba yangu ya voda ni 0758303090
 
Mkuu kuwa na busara,wenzako huwa hawakatai ushauri hata ukiwa ni wa kijinga.Huo ushauri uliopewa ni mzuri sana,mkuu hapo juu yupo sahihi kabisa unless unaogopa kukosa, "muuzaji nawasiwasi nae,ukiwa na biashara hautakiwi uwe mkali hvo, pia mnunuzi makini lazima awe na full data za anachohitaji, kuwa perfect mkubwa acha hzo za 1947

Noted,apologies refer to the edits above
 
Mkuu kuwa na busara,wenzako huwa hawakatai ushauri hata ukiwa ni wa kijinga.Huo ushauri uliopewa ni mzuri sana,mkuu hapo juu yupo sahihi kabisa unless unaogopa kukosa wateja sababu unajua kitabu chako hakipo nondo.By the way kuongezea ushauri zaidi,siku hizi wenzako wanakuwa na soft copy pia,unatumia mpesa au tigopesa then unatuma soft copy kwenye email

Kila la kheri

Noted,apologies refer to edits above
 
Mkuu wewe unaona usumbufu ila huu ni msaada kwa muuzaji.., hivi unajua kuna vitabu vya ufugaji wa kuku au kilimo vingapi duniani, au unajua ukulima wa mboga upo deep kiasi gani ?, Kwa kuweka kwake kurasa itaonyesha ni deep vipi au summary vipi kitabu chake kilivyo.., Pia huenda mimi ninataka kilimo cha Migagani au Michunga kwenye mboga au kulima kwenye makopo au magunia sasa kwa kuweka kwake contents nitajua ninachokitaka kimo au pengine sijui kwamba sijui kitu fulani kwahio nikiona kwenye contents nitajua kwamba na hiki kipo hence kununua

Tupende kujifunza kwa waliofanikiwa wanavyofanya mambo (angalia kwa wauzaji vitabu kama Amazon) wanaweka contents na image ya kitabu as well as pages, Pia kwa ushauri wa huyu bwana kama anaona kazi kuweka picha kila saa anaweza akatengeneza Blog (which is free anyway) na hapa kuweka link kwamba kwa maelezo zaidi kuhusu kitabu cheki hapa...

Ni ushauri tu wa bure, unaweza kuuchukua au kuacha ila itasaidia sana kwa muuzaji kuuza zaidi (na kuepuka malalamiko kwamba ulichoniuzia sicho) na pia mnunuzi kupata kile anachotaka

Noted, I hate being misunderstood!apologies rectified
 
Dunia ya sasa huwezi kutangaza kitabu katika hali hii mkuu, ni vizuri ukataja hata jina la Vitabu, mwaka kimechapishwa, muandishi(kujua wasifu) na hata mahali tunaweza kuvipata.
 
Yaani Ina maana wewe bado huelewi mbali na information zote nlizoedit na kuonyesha hapo juu.
I have given details na Majina ya vitabu tayari so Mnunuzi anaweza kufahamu yaliyomo na kutoa namba ya simu Kwa ajili ya kupata huduma ya kitabu.Aisee Sina zaidi ya hapo Kama unaitaji kitabu wewe holla at me through SMS or Call the number I have provided for you.
 
Vitabu katika picha ImageUploadedByJamiiForums1399399621.735879.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399669.398127.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399691.581508.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399720.143869.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399750.233949.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399787.132214.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399841.176826.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399894.625676.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399924.926582.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399966.435153.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399400007.993090.jpg ImageUploadedByJamiiForums1399399574.309708.jpg
 
Husika na kichwa cha habari kwa anaeitaji kitabu cha ukulima wa vitunguu,mboga zote na matunda na ufugaji wa kuku anaweza kuniPm bei ni Elfu tano tu (5000/=) kwa kimoja na elfu kumi na mbili (12,000/=) Kwa vitatu utakavyochagua.
UFAFANUZI
1.KILIMO CHA MBOGA
Vitunguu,Nyanya,kabichi,karoti,mchicha,pilipili hoho na Madawa ya kudhibiti magonjwa na wadudu waharibifu
2.UFUGAJI BORA WA KUKU
Kuku wa kienyeji na kisasa
3.KILIMO BORA CHA MATUNDA
Michungwa,Miembe,Migomba,Minanasi,Mipapai,Mipesheni na Matikiti maji
4.USINDIKAJI WA MAZIWA
Mtindi,Yoghut,Siagi,Samli,Jibini na Askrim za Maziwa
5.UFUGAJI BORA WA MBUZI
6.NG'OMBE WA MAZIWA
7.NG'OMBE WA NYAMA(fattening)

Karibuni wote
Cc
Kibananhukhu
Neema prosper
KeyserSoze
Chuvachok
Feiaidan
Nikolaevich
Xfactor
KeyceNjou
Jayonepey
The stranger
Maundumula

Well informed thanks
 
NB:Kama wewe siyo mnunuzi acha wenzako wafaidike mlioacha namba zenu ntawapigia simu au pia waweza kunipata kwa 0758303090
You are not confident with your product, and you are making it so obvious for all of your customers to see. Tumeomba tu utuambie vitabu vimeandikwa na nani na vimeandikwa wapi, unaleta majibu ya bungeni
 
You are not confident with your product, and you are making it so obvious for all of your customers to see. Tumeomba tu utuambie vitabu vimeandikwa na nani na vimeandikwa wapi, unaleta majibu ya bungeni

Nenda kalale wanaitaji vitabu ni wengi,so mind your business!?
 
Back
Top Bottom