Vitabu hivi nitavipata wapi?

jaribu mlimani city pana bookshop jirani na NMB sikumbuki inaitwaje, pia jaribu bookshop ya TATAKI ipo JENGO LA KISWAHILI mlimani(UDSM)
 
mm ni member umu ila sijawai comment au post kitu kwa mara ya kwanza naomba kuliza ivi vitabu kama vya wiilliam gamba joram kiango na vingenevyo vya ben mtobwa vinapatikan wap kwa dar
Vitabu hivyo vinapatikana, piga simu namba 0712504985 au 0763044459
 
VIPO AINA SITA VYA BEN R. MTOBWA. NAKALA MOJA NI 10,000.
 

Attachments

  • mtambo cover.jpg
    mtambo cover.jpg
    59.6 KB · Views: 43
  • najisikia.jpg
    najisikia.jpg
    8.6 KB · Views: 35
  • nunda.jpg
    nunda.jpg
    12.7 KB · Views: 38
  • roho.jpg
    roho.jpg
    8 KB · Views: 43
  • shetani.jpg
    shetani.jpg
    77.9 KB · Views: 40
  • tutarudi cover.jpg
    tutarudi cover.jpg
    70.1 KB · Views: 41
Jaman kuna kitabu hiki nmeishakitafuta sana, mwenye kujua kinapouzwa au anacho anauza.... Kinaitwa SITAISAHAU MV BUKOBA, kimaandikwa na Simango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom