Vitabu bora kwa ajili ya Finance

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Habari wanaJF, ni tumaini langu humu kumejaa watalaamu wa Finance and Accounting.

Mie ninahitaji kujifunza na kusoma Finance personally.. kwa hivyo nahitaji recommendations ya vitabu Bora equivalent kwa Dip au Degree ya Finance. Kama utaniwekea na PDF itakuwa poa zaidi.

Asanteni.
 
Nakipata wapi hiki
the-art-of-trading-refined.jpg
 
Back
Top Bottom