Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,781
- 3,074
- Thread starter
- #21
Mkuu, uko sawa lakini?The so called Dr. kila mtu na mapenzi yake, interest zako kwenye vitabu lazima zitofautiane na mwingine. Sikutegemea Dr. kuandika kama ulivyofanya. Poor you
Maana naona kama una hasira na maisha hivi halafu unataka kuzimalizia kwangu.
Relax mkuu, sijakulazimisha kusoma hapa, au kukulazimisha kufanya nilichoandika,
Nimeshirikisha experience yangu kupitia usomaji wa vitabu 2019, na kwa yule ambaye anapenda kusoma zaidi kuna hatua za kuchukua.
Kama wewe siyo mmoja wao, unaweza kupita tu,
Kila la kheri mkuu na karibu sana kwenye usomaji wa vitabu.