Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,191
Nao wanatafuta pesa ndio maana wanaandika vitabu, ndio maana wanakuwekea kanuni za kufuata.Last week I was reading a book and I came to realize Inspirational and Motivational books are controlling and somewhat toxic. Fanya hivi fanya vile, usifanye hivi, usifanye vile. Lakini ndio hivo inabidi tusome ili tuweze kuona maisha katika kona nyingine tofauti. Mimi nimeamua kuna wakati nitakua naishi hizo principles zao na kutakua na wakati wa kuzivunja kuishi bila kanuni kwa amani ya akili na moyo wangu.
Ukichunguza kiundani utagundua mawazo yao yana fanana sana.Mfano ukisoma Think and grow rich na Rich dad poor dad vinafanana sana.Mi niliacha kuvisoma baada ya kugundua nasoma kitu kilekile labda kama unataka kukuza lugha ya kingereza soma vyote.
Kitabu nilichokisoma Mara ya mwisho ni CAPITALIST NIGGER by Dr.Wilson.Jaribuni na hichi,kimejikita kuamsha fikra za kimapinduzi ya kiuchumi kwa mtu mweusi.
Hatari ya kusoma sana, utakuwa na knowledge gap na watu wanao kuzunguka hivyo kukuona much know au mbishi sana.Most people are ignorant(OSHO).