Vita ya watoto na baba zao kugombea maziwa ya mama

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Katika maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji ya mwaka huu kumeibuliwa tuhuma za watoto kutopata maziwa ya kutosha toka kwa mama zao na moja ya sababu ikiwa ni kwa sababu baba zao nao wanayatumia. Wananyonya.

Moja ya sababu ya kina baba kuhitaji kunyonya maziwa ya wake zao ilisemekana ni kuwasaidia kupunguza hang-over hasa kwa wale wanaotumia vilevi.

Pengine hii ni habari mpya kwa wengi wetu, lakini nimejiuliza jambo hili lina uthibitisho kisayansi au ni sababu tu kwa bebi wakubwa kutimiza kasumba zao?

Lakini pia kama maziwa ya mama ni tiba ya hang-over, hatuwezi kuwa na viwanda vya kinywaji hicho ili wamama wapate fursa ya kipato?
 
Back
Top Bottom