Vita ya watoto na baba zao kugombea maziwa ya mama

B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,853
Points
2,000
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,853 2,000
Katika maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji ya mwaka huu kumeibuliwa tuhuma za watoto kutopata maziwa ya kutosha toka kwa mama zao na moja ya sababu ikiwa ni kwa sababu baba zao nao wanayatumia. Wananyonya.

Moja ya sababu ya kina baba kuhitaji kunyonya maziwa ya wake zao ilisemekana ni kuwasaidia kupunguza hang-over hasa kwa wale wanaotumia vilevi.

Pengine hii ni habari mpya kwa wengi wetu, lakini nimejiuliza jambo hili lina uthibitisho kisayansi au ni sababu tu kwa bebi wakubwa kutimiza kasumba zao?

Lakini pia kama maziwa ya mama ni tiba ya hang-over, hatuwezi kuwa na viwanda vya kinywaji hicho ili wamama wapate fursa ya kipato?
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
22,209
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
22,209 2,000
Hapana mkuu niliwahi mnyonya dada mmoja anaitwa zuhura kumbe alikuwa ananyonyesha na hakuniambia sijui alizidiwa na mishindo
Mkuu, mambo mengine huwa sio ya kuvamia.
Mkuu..... Ujuwe titi huwa linaliwa na wababa, ingawa nyonyo huwa linanyonywa na watoto....
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
27,588
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
27,588 2,000
Hapa kila mmoja anasema hakuwahi kunyonya
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
3,961
Points
2,000
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
3,961 2,000
hahaaa jf........... , wachangiaji wenyewe wana hang'over.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
16,673
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
16,673 2,000
Hapana mkuu niliwahi mnyonya dada mmoja anaitwa zuhura kumbe alikuwa ananyonyesha na hakuniambia sijui alizidiwa na mishindo
Hahah dah Zuhura alikuweza mkuu,hahah.
 
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,663
Points
2,000
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,663 2,000
Ukinyonya maziwa ambayo mtoto kafa au kauawa ujuwe unakula mali ya marehemu
 

Forum statistics

Threads 1,336,348
Members 512,581
Posts 32,535,773
Top